Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Nimeipanda 'RUDI TANGANYIKA" Hizo T-shirt zinapatikana wapi jamani Watz wa Marekani a.k.a Diaspora tumeni hizo T shirt China watufyatulie kwa wingi

Naunga mkono hoja 100%
 
alienda USA kufanya nini huyo keng e,halafu hela za ticket na accommodation kalipa nani?
 
Hapo penye picha ya Tanganyika na Unguja, mngeweka na Pemba pia.... afu ingependeza sherehe ka hizo msikanyage kabisa....
Afu hiyo picha mliyopga watu wanne..kumbukeni muungano ndio umewafanya hivyo...AFU MNACHEKAAAAA!!!
Nyie kweli mnaigiza...badala ya kusimamia uraia wa nchi mbili, mnakalia majungu...

wa nchi moja uzalendo umewashinda mnaficha pesa huko kusiko kwenu,huo wa nchi mbili si mtauza na nchi yenyewe.
 
Mwigulu next time weka Utanganyika mbele, UCCM wako hukohuko Lumumba

Mkuu nimejaribu kupitia vijimambo blog naona mwishoni na hotuba yake alianza kuwaponda UKAWA wanaoidai tanganyika. Nimeshangazwa na waziri kutotenga muda wa watanzania wenzetu huko kumuuliza maswali...
 
Tuliishasema, ccm mtawadanganya watanzania kwa muda mfupi, lakini sio wakati wote. Kizazi cha sasa ni cha watu walioelimika, hata ambao hawajaenda shule wanauelewa mkubwa tofauti na kipindi cha Nyerere, watu wanahoji, wanadadisi, sio watu wa kukubali jambo mara moja. Cha msingi TANGANYIKA yetu ni lazima irudi by any means, ukiona mtu anakataa asili yake ambayo ndio utaifa wake, huyo ni wa ajabu sana na hana uzarendo, asiyeitaka TANGANYIKA ahame nchi, uhuni hatutaki.
 
PICHA: Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.

Akihutubia jioni hii kwenye sherehe za muungano Mh. Nchemba amekuwa akiongea uongo na kujaribu kuwachomekea wapinzani. Amesema wapinzani tokea siku ya kwanza Bungeni walikuwa wanafanya mpango wa kutoka Bungeni.

Ameendelea kupotosha kuwa muungano unadumu na wameongeza mambo ya muungano kwa sababa Tanganyika ( ametumia neno Tanzania Bara) ina huruma zifuatazo; huruma za muungano;
- Zanzibar isimezwe
-Tanzania isibebe mzigo wa muungano na Tanganyika
- huruma ya utu na uzalendo

Baada ya speech yake kuonyesha ku bore watu walianza zomea zomea ya Kimarekani; ambapo watu kutoka nyuma ( back benchers) walianza kupiga makofi constant. Alipo kuwa slow alichelewa ku notice hilo, lakini baadaye akagundua na kumaliza.

Ammeiponda tume ya Katiba na kusema wengi ya waTanzania hawakuongelea muungano, kwa hiyo "ana assume" wanaunga mkono muondo wa muungano uliopo. Ametumia neno "assume" "kuhisi"

OUR TAKE: jamaa anatumia assumption ku draw conclusions badala ya FACTS. Pia ame onyesha dharau kwa Zanzibar kuwa ni huruma ya Tanganyika inayo wabeba.

View attachment 154197
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa t-shirt yenye ujumbe "RUDI TANGANYIKA" TUME YA KATIBA IHESHIMIWE" "WAZANZIBAR NA WATANGANYIKA HATUBURUZWI TENA". Mh. Mwigulu aliikataa hiyo t-shirt akisitizia kuwa hakuna kitu kama Tanganyika na haiwezi kurudi; na kwa nini kupigania kitu ambacho hakiwezi kurudi tena. Hapa ilikuwa mchana nani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC. katikati ni balozi wa Tanzania nchini Marecan mama Mulamula

View attachment 154198

View attachment 154199

View attachment 154200

View attachment 154201

Pia amewaomba WaTanzania wasishituke na Bendera ya Zanzibar maana hata Simba na Yanga wana Bendera
 
Hivi sio ninyi Chadema Diaspora mlotuhabarisha kuwa Mwigulu ni miongoni mwa watu wasioruhusiwa kuingia Marekani?
 
kudumisha utamaduni kitu cha msingi sana,naona diaspora wamezeeka huko halafu swaga zao za ki yo yo nigga.

watu mna sura za kizee halafu swaga za kina 50-cent wapi na wapi.
 
Hatukutegemea kama angeongea upuuzi wa serikali mbili, tulitegemea atuambia maendeleo ya nchi kiuchumi, alivyoanza kumtukana warioba akaanza kuona kama akimbie, ametuvunjia heshimu na chama chetu kiujumla.
 
Back
Top Bottom