Chadema Diaspora
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 480
- 644
PICHA: Mwigulu: Aonja Joto ya jiwe Washington, D.C.
Akihutubia jioni hii kwenye sherehe za muungano Mh. Nchemba amekuwa akiongea uongo na kujaribu kuwachomekea wapinzani. Amesema wapinzani tokea siku ya kwanza Bungeni walikuwa wanafanya mpango wa kutoka Bungeni.
Ameendelea kupotosha kuwa muungano unadumu na wameongeza mambo ya muungano kwa sababa Tanganyika ( ametumia neno Tanzania Bara) ina huruma zifuatazo; huruma za muungano;
- Zanzibar isimezwe
-Tanzania isibebe mzigo wa muungano na Tanganyika
- huruma ya utu na uzalendo
Baada ya speech yake kuonyesha ku bore watu walianza zomea zomea ya Kimarekani; ambapo watu kutoka nyuma ( back benchers) walianza kupiga makofi constant. Alipo kuwa slow alichelewa ku notice hilo, lakini baadaye akagundua na kumaliza.
Ammeiponda tume ya Katiba na kusema wengi ya waTanzania hawakuongelea muungano, kwa hiyo "ana assume" wanaunga mkono muondo wa muungano uliopo. Ametumia neno "assume" "kuhisi"
OUR TAKE: jamaa anatumia assumption ku draw conclusions badala ya FACTS. Pia ame onyesha dharau kwa Zanzibar kuwa ni huruma ya Tanganyika inayo wabeba.
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa t-shirt yenye ujumbe "RUDI TANGANYIKA" TUME YA KATIBA IHESHIMIWE" "WAZANZIBAR NA WATANGANYIKA HATUBURUZWI TENA". Mh. Mwigulu aliikataa hiyo t-shirt akisitizia kuwa hakuna kitu kama Tanganyika na haiwezi kurudi; na kwa nini kupigania kitu ambacho hakiwezi kurudi tena. Hapa ilikuwa mchana nani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC. katikati ni balozi wa Tanzania nchini Marecan mama Mulamula