Mwezi waonekana sikukuu kesho jtatu

Mwezi waonekana sikukuu kesho jtatu

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Naingia gheto tu natoka kupata zangu daku nikicheki naona mwezi juu ya gypsum ya gheto langu !! Kesho no job sikukuu wadau !!!
Source:: mwenyewe!! Mpaka sasa bado upo kama unabisha njoo uone
 
hahahahaha we chizi me nimesoma kichwa nikaenda kutangazia watu kumbe ----- umeandika
 
Naingia gheto tu natoka kupata zangu daku nikicheki naona mwezi juu ya gypsum ya gheto langu !! Kesho no job sikukuu wadau !!!
Source:: mwenyewe!! Mpaka sasa bado upo kama unabisha njoo uone

Jina lake tu mleta uzi lina jieleza kuwa yy ni mgonjwa
 
Naingia gheto tu natoka kupata zangu daku nikicheki naona mwezi juu ya gypsum ya gheto langu !! Kesho no job sikukuu wadau !!!
Source:: mwenyewe!! Mpaka sasa bado upo kama unabisha njoo uone

huna akili
 
Subiri ukipona ndo uje utusimulie ulikuwa unasumbuliwa na ugonjwa gani wewe mgonjwa
 
Nasikia vingoma huku uswahilini, imetick nini? Manake hizi sherehe zinazosubiri mwezi kuwaka hazitabiriki, sikukuu njema kama ni kweli.
 
Naingia gheto tu natoka kupata zangu daku nikicheki naona mwezi juu ya gypsum ya gheto langu !! Kesho no job sikukuu wadau !!!
Source:: mwenyewe!! Mpaka sasa bado upo kama unabisha njoo uone

Majina yanawadhuru hayoo !
 
Yaani ulipoingea bado kuvuta hiyo pungi pungi na ulipotoka kwenye hiyo gheto ndo ushavuta hiyo shish ya kupuliza ya mtemba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom