Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Duuuuh hivi kuna kitu kingne kinacho sumbua zaidi Duniani km mapenzi mana tunabeba mizigo tusiyo staili humu
Duh... Bado sana mkuu, kuna mtu kafukuzia huu mwaka wa 3 sasa ila hajakata tamaa mpaka namuonea huruma. Ngoja siku moja nije nivae miwani ya mbao nimpe....
 
Umewekwa reserve... Ngoja mchezaji kiungo aumie. Akiwa majeruhi, wa reserve ndio anachezeshwa...
 
Finish what u hv started..usikate tamaa..endelea kutia tia huruma braza atakuelewa tu..
 
naona bado huyo msichana anaishi ki-analojia, dijitali haiendi hivyo :A S-eek::A S-eek::A S-eek:.
 
Hio ndo definition ya kupenda..out of millions umemuona mmoja....,mim naona unachanganya kupenda na kuwa na mtu wakati huo...naona kama watu humu mmebase kwenye just being with someone na sio love but ukweli ni love is timeless hata wakikaa miaka sita wanafukuzana if it's love then it is love....lakin kama sio love ndo hicho unachosema wewe hakuna haja ya kumbembeleza for that long you simply switch to another girl

you can spend your life time simply because its called real love, the package of real love includes living together sio tu kutamani kwa macho
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

ingekuwa tupo busy katika kufanya maendeleo ya hii nchi kila mtu angekuwa busy kwa miezi7 tungemkaribia mmarekani.
 
ingekuwa tupo busy katika kufanya maendeleo ya hii nchi kila mtu angekuwa busy kwa miezi7 tungemkaribia mmarekani.[/QUOTmapenzi n zaidi ya uyajuavyo; power of love
 
ingekuwa tupo busy katika kufanya maendeleo ya hii nchi kila mtu angekuwa busy kwa miezi7 tungemkaribia mmarekani.[/QUOTmapenzi n zaidi ya uyajuavyo; power of love

unaangaika miezi yote hiyo eti kuna mwingine ana miaka3 anamfukuzia demu?. Mwisho wa siku unaambulia ukimwi. Kwishneyyyy
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

Tatizo lenu vijana wa cku hizi mnataka ukimtongoza demu asubuhi jioni umgegede.....wazee wa zamani ilikuwa ndo wavumilivu hadi miaka 8 bado hawakata tamaa, keshatuma barua zaid ya 2436 lakin baaado kabisa nyie wa cku mnatongozana kwny ma fesibuku tu baaaaaaaasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom