Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Siku hizi hakuna hata kujipa tabu ya kusubiri jibu watu wanachukua mchanga aliokanyaga demu then wanaukaanga/kuuchoma huku ukinuia kwa kulitaja jina lake...

Onyo:uchawi huu ni hatari unaweza ukasababisha akabeba nguo zake zote akamia kwenu in 2 dayz
 
Unaongelea takrima??? Maybe mnamtokea hamna madini thats why vibuti vinawasibu, naomba PM namba yake nimwage sera kama UKAWA, kesho lzm umkute gheto....
 
Duuuuu kaka galz ni kama uzuriiiiiii wa JENEZA nje limepambwa vizuriii kumbe ndani lina MAITII utamuhangaikiaaa miez yote unakuja dumu naye wiki acha zako mapenzi ULAYA bongo hapa BIASHARA tema naeeeeee oooh usisahau kuwa MAPENZI YA bongo ni kima UMEME wa tanesco so GENERATOR NI MUHIMU kama vipi TAFUTA GENERATOR kwanza unavo subiri umeme wa TANESCO.....hebu temanaaaaa na huyooo anajiona keki kusumbua miezi yote hyo lazima atakuwa mshamba wa mapenzi dem wa kweli na anaye jua mapenzi huwa anachukua cku moja au mbl kuku bali sio huyooo
 
nashukuru kwa ushaur wako kaka
 
Duh... Bado sana mkuu, kuna mtu kafukuzia huu mwaka wa 3 sasa ila hajakata tamaa mpaka namuonea huruma. Ngoja siku moja nije nivae miwani ya mbao nimpe....

Eeh!!! Huyo mwenzangu ana moyo kweli yaan anakusalandia miaka yote hiyo, mie sijui hata kwanini siwezi kusumbuana na demu zaidi ya miezi 2 process la kusalandiana maana kama miezi yote hiyo sijafanikiwa kumchinja basi nishasepa kitambo
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

Yaani ukute na kukusumbua kote huko kumbe kuna mchunga ng'ombe mtaa wa 2 anajipigia kizembe tu na mwisho wa kila shughuli demu anamtoa msela fungu zuri la pesa
 
Mm nmeanza kufkuzia tangu tuko form two Nà cjapata kaka tuwaache wajanja wagonge tu
 
pole sana kwa kusubiria meli airport huyo hakutaki braza
 
huyo anakupenda ndo maana kakujibu anakufikiria coz km mtu humtaki unamwambia direct yanaisha hapo ila kuwa mvumilujvu kijana wenzako wanafukuzia hata miaka saba we miezi saba tu ushalalamika?anhaa unaniabisha bwana..komaa tu mpk kieleweke
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.
big
Vipi mpaka mwaka huu bado??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom