Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

Zingatia masomo achana na mambo ya mapenzi.kiufupi ni kwamba hakutaki!!!!!!
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.
Kijana unaangamia kwa kukosa maarifa! Unapita pita tu mitaani hata vibao husomi? Waganga mbona wengi tu wanaotoa dawa ya penzi, nenda huko uharakishe mchakato!!
 
siwezi hivyo
 
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

Kamtafutie kitu cha Babu umpulizie kama Upepo kisha uone atavyo kufata fata kila mahala mpaka wewe ndo utamkimbia.
 
Last edited by a moderator:
Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

Jinga kabisa wewe,yani ndio alivyokudanganya nawe ukakubali?ndio maana amekuona zezeta maana akikwambia jambo lolote unamuamini,hata akikwambia hajawahi kufanywa utakubali tu. Kwa taarifa yako wala hutampata huyo binti maana keshajua wewe ni zoba. endelea kushika pembe.
 
Wanawake wote hawa.. Tena tunaambiwa ratio ni mwanaume mmoja kwa wanawake 7. sasa unavyomganda mmoja huoni kuwa unawanyima haki wanawake wengine kupata huduma yako???tehhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom