Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Kata mawasiliano naye kwa wiki moja ukiona kimya jua anakupotezea ila ukiona anakukumbuka jua hataki kukwambia ila ni wake

acha nifanye hivyo mkuu
 
pole sana ndugu cha kukushauri sina manake mi mwenyewe nipo kama wewe ila mi nomekuzidi manake ni mwaka na nusu mpaka sasa

Hahahahaha,mkuu umenifrahisha sana,ila pole mwaka na nusu:what::what: kuna watu mna mioyo ya aina yake
 
unaomba jibu la nini kwani wewe mwalimu??kumbe shida iko hapo na ndio maana hakukubali....
fanya hivi mtumie tumie vimeseji tu vya kawaida "mambo, unafanya nn, vipi uko free tukatembee tembee" huu mfano tu sio upaste, unasikilizia anajibu vipi mtoe hata ukamnunulie nunulie chips(ugonjwa wa madenti), tembea tembea nae ile mida ya jioni wazungu wanasema evening walk kujenga ukaribu zaidi, piga story za tofauti sio mapenzi (kama mdomo mzito shauri ako) fanya hivo mara mbili tatu akikubali kuja ujue samaki kishakula chambo kazi kwako "kumvua samaki"

nitajaribu kufanya hivyo
 
Itakuwa na yeye anakuzimia ila kuna mambo unabugi meen, either maneno yako usikute unamwambia "naomba jibu langu" hakuna mwanamke anasema nimekubali ila vitendo tu utajua, au unavovaa usikute unavaa masuruali ya kipepe kale, au swaga zako hebu jiangalie angalie tena!!!

Hahaha..hivi kweli nani bado anavaa hizo suruali..nimecheka hapa
 
Hahahahaha,mkuu umenifrahisha sana,ila pole mwaka na nusu:what::what: kuna watu mna mioyo ya aina yake

kupenda KAKA ni tabu sana; hasa sehem usipopendwa kwa kiwango unachokiwaza
 
na katka kuomba jibu huwa natumia neno hili( naomba jibu langu )nitumie mbinu gani mbadala?

Wew una mambo ya kizamani...daah hata papuchi utaiomba kama andazi...atakunyima tena
 
dah! kweli binadamu 2po tofauti, mi wiki tu kama hakieleweki bhaasiiii ............ embu nrushie namba yake PM na mimi nimtest kama atanizungusha miez saba! ctamwambia ni ww ndio umenipa.

Grand PA
 
Nitumie namba zake nikubembelezee mkuu....haiewezekani akutese mwanaume mwenzangu kwa miezi saba......
dah yaani roho imeniuma sana...
NITUMIE NAMBA ZAKE FASTA NIMKOMESHE....
 
Hebu punguza speed ya kumfuatilia kijana. Mkionana muongee mambo mengine tu sio ishu ya kutakana. Punguza ukaribu , kama ulikuwa una tabia ya kumsms au kumcall achana na hayo.

Believe me hata ipite miezi 7 tena ipo siku utamkwangua tu. Ukiendelea kuwa serious naye atakusumbua sana aisee.
 
Unacheza dogo,,,,,mi shakaa miaka 2 nafukuzia sembuse siku 210?
 
Unacheza dogo,,,,,mi shakaa miaka 2 nafukuzia sembuse siku 210?

sasa hio miaka miwili unakuwa unaongea nae nini hasa?/ au unatongoza leo,unapotezea miezi sita halafu unarudia tena?
 
Hebu punguza speed ya kumfuatilia kijana. Mkionana muongee mambo mengine tu sio ishu ya kutakana. Punguza ukaribu , kama ulikuwa una tabia ya kumsms au kumcall achana na hayo.

Believe me hata ipite miezi 7 tena ipo siku utamkwangua tu. Ukiendelea kuwa serious naye atakusumbua sana aisee.

nitafanya hivyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom