Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Nilikuwa naangalia tu jamaa wanavyokushauri naona kama wanakupotezea ,sasa chukua ushauri nasaha ,nenda rudi kwake kwa mbio zaidi ya hizo za mwanzo ukimkaribia jifanye kama unajikwaa na kukaribia kuanguka ,halafu mueleze shida yako, kama vile ulivyosema mwanzo...Dada nazidi kukupenda kila miezi inavyozidi kupungua kulikaribia pendo letu....Unaona eei ,si kawaida yake kukwambia bado nakufiria akimaliza tu ,kusema hivyo anza kulia ,tena ulie kwa sauti ,au hujui kulia wewe ? Unalia kwelikweli basi jioni haifiki utamuona huyu kakuzukia ,hapo usiingie kichwa kichwa anaza na wewe kwenda mbio utaona ni jinsi gani na yeye anakufukuzia sijui inaweza kupita mida gani ila ujue mambo yeshaiva. Kwa nini nikakwambia ukimbie inawezekana kabisa keshakuchuna sana na hela huna !