Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Mwezi wa saba sasa hajanikubalia

Itakuwa na yeye anakuzimia ila kuna mambo unabugi meen, either maneno yako usikute unamwambia "naomba jibu langu" hakuna mwanamke anasema nimekubali ila vitendo tu utajua, au unavovaa usikute unavaa masuruali ya kipepe kale, au swaga zako hebu jiangalie angalie tena!!!

nina stress Ila umenifanya niangue kicheko balaa' kwahiyo hawezi kusema kuwa amekubali? mchango wako nitauzingatia sana Dada shukran sana
 
na katka kuomba jibu huwa natumia neno hili( naomba jibu langu )nitumie mbinu gani mbadala?
 
Watu tunafukuzia siku moja au mbili tunakubaliwa,au kukataliwa tunajua moja,una moyo
 
kweli mkuu?bora na mm nianze system. hiyo
 
nina stress Ila umenifanya niangue kicheko balaa' kwahiyo hawezi kusema kuwa amekubali? mchango wako nitauzingatia sana Dada shukran sana
we jua tu hivo wanawake hawatoagi jibu direct kuwa "nimekubali"...chek chek na swagga zako!!!
IMG-20140821-WA0035.jpg
 
pole sana ndugu cha kukushauri sina manake mi mwenyewe nipo kama wewe ila mi nomekuzidi manake ni mwaka na nusu mpaka sasa
 
na katka kuomba jibu huwa natumia neno hili( naomba jibu langu )nitumie mbinu gani mbadala?
unaomba jibu la nini kwani wewe mwalimu??kumbe shida iko hapo na ndio maana hakukubali....
fanya hivi mtumie tumie vimeseji tu vya kawaida "mambo, unafanya nn, vipi uko free tukatembee tembee" huu mfano tu sio upaste, unasikilizia anajibu vipi mtoe hata ukamnunulie nunulie chips(ugonjwa wa madenti), tembea tembea nae ile mida ya jioni wazungu wanasema evening walk kujenga ukaribu zaidi, piga story za tofauti sio mapenzi (kama mdomo mzito shauri ako) fanya hivo mara mbili tatu akikubali kuja ujue samaki kishakula chambo kazi kwako "kumvua samaki"
 
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.

Dah miez 7 kla m2 anamkatalia! ww umejuaje km kawakatalia wote? Au anaona aibu kukubali 7bu ana mb? ro uckute jidume hilo ohooo chunga kjana, alaf ina maana na ww miez 7 yote bado unansubiria yy km ndio tafta mchepuo atakupa degedege huyo.
 
unaomba jibu la nini kwani wewe mwalimu??kumbe shida iko hapo na ndio maana hakukubali....
fanya hivi mtumie tumie vimeseji tu vya kawaida "mambo, unafanya nn, vipi uko free tukatembee tembee" huu mfano tu sio upaste, unasikilizia anajibu vipi mtoe hata ukamnunulie nunulie chips(ugonjwa wa madenti), tembea tembea nae ile mida ya jioni wazungu wanasema evening walk kujenga ukaribu zaidi, piga story za tofauti sio mapenzi (kama mdomo mzito shauri ako) fanya hivo mara mbili tatu akikubali kuja ujue samaki kishakula chambo kazi kwako "kumvua samaki"
Hahaha acha kumpoteza kijana.....
 
Utakuwa unaenda na sura ya huruma ili akuhurumie.....

Yeye anataka kidume mwenye kupiga sound/verse.
 
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.

Komaa jombaa tuko wengi kumbe!!! Mwenzio nshajitoa japo karoho kanauma !!!!
 
Kata mawasiliano naye kwa wiki moja ukiona kimya jua anakupotezea ila ukiona anakukumbuka jua hataki kukwambia ila ni wake
 
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.

subiri bado miezi miwil ajifungue nahisi ndo atakupa jibu lako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom