rama mjusi
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 352
- 55
Naona umekumbuka kukata kiuno vumilia mwezi uandame tz saudia we mwarabu (msingikiuno) ha haaaa
Naona umekumbuka kukata kiuno vumilia mwezi uandame tz saudia we mwarabu (msingikiuno) ha haaaa
BAKWATA C CHOMBO HURU SAUDIA NDO KILA KITU SAWA NA VATICAN KWA WAKATOLIK TENDE MKILETEWA MNAKULA,HIJA MNAKWENDA HUKO,MASOMO YA DINI HUKO,MISAADA YAO MNAPOKEA kwenye mwezi ndo mnakuja misimamo ya ajabu chombo huru redio na TV iman ishatangaza fungulia uckilize takbira naomba unialike kwako hapo kesho kutwa INSHAALLAH NIDABO
Khaa!! Lakini sisi tupo tz. Sayansi ya mwezi inahusikaBaraza la Mahakama kuu yasaudia imetanganga kuonekana mwezi na kesho ni sikukuu.
Takabbala Allaahu Minna Waminkum
Ramadhaan 1436 â High Judiciary Council of Saudi Arabia | Fatwa-Online | eFatwa
Mkuu sio wote,Idadi kubwa ya Waislam wa Tanzania wanatii BAKWATA na ndio maana Kesho kutwa utaona jinsi EID inavyokuwa na Umati wa watu.Hilo ni baraza la Saudi Arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa Tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la BAKWATA??
Si chombo huru?? Mbona kinaongozwa na Waislam?? Na majuzi tu hapa wamechagua Shekh mkuu au walichagua kwa shinikizo??
Then, kwa nini kabla ya kukua kwa technology mgongano huu haukuwepo! Je, technology inabadilisha baadhi ya vipengele kwenye dini??
Weraaaaa weraaaaa.....
Hata usipoonekana mie ndio tayari sikukuu.
Mkuu sio wote,Idadi kubwa ya Waislam wa Tanzania wanatii BAKWATA na ndio maana Kesho kutwa utaona jinsi EID inavyokuwa na Umati wa watu.
Hao wengine ni waleee,UAMSHO na Ndugu zao wanaotaka kwa nguvu mahakama ya Kadhi wasiokubali kitabu chao na maamuzi yake,na walee Misimamo Mikali wasiojitambua.
We kwa akili ya kawaida tu hata Jiografia ya Darasa la nne hujui?maana unaweza kusoma kwamba unafuata mkubwa na maandiko mtu anajifanya hajui.
Wakati huo kuna Nchi mwenzi zinauona kabla ya Saudia kwanini Saudi haikubali kuutangaza hadi uonekane nchi mwao?hii ni kwakuwa wanajua kwamba Kila Nchi ina mamlaka yake na ndio itahusika na kuutangaza mwezi kulingana na masafa yake yanayoruhusiwa Kidini
Safi mkuu
Mwezi wa Saudia unahusu nini huku,wakati hata muda hatuko sawa.
Na wakati huohuo Saudia na Mamlaka yao wao hawakubali mwezi kuonekana kokote Zaidi ya kwao ndio waukubali.Sasa sujui hawa wengine kiherehere cha nini.
Sisi tunasubiri tutangaziwe na BAKWATA au tuuone kwa macho yetu ndio tu deklee sikukuu.
Hata hivyo usipoonekana leo kuna uwezekano mkubwa sana ukaonekana kesho.
Unaweza kuja mifano nchi ambazo zinaweza kuona mwezi kabla ya Saudia? Maana jiografia ya Saudia no way Tanzania mkauona mwezi kisha wao wasiuone. Hebu fikiria mwaka huu huko Tanzania maghrb huingia around 18:24 wakati Maka ni around 19:10 na Madina zaidi ya hapo.
Implication yake nini? Wakati nyie huko saa 2 usiku na mwezi kuwa almost down/umezama, saudia ndio kama kiza kinachanganya hivyo ji rahisi kuuona mwezi. Nchi nyingine za Europe au far Asia ndio usiseme, hawawezi kuuona kwa urshisi. Haikuwa bahati mbaya kwa Mwenyezimungu kuiweka saudia kama kitovu cha uislam na kibla cha waislam-kuna hekma nyingi mojawapo ni hiyo geographical location. ilivyo.
nitafute mwanamke wa kujipongeza.