Mwezi umeonekana Saudia

Mwezi umeonekana Saudia

Lakini hiyo mahakama ya Saudia mbona imesema mwezi haujaandama jioni hii, ila wao leo ndo wanakamilisha siku 30 za mwezi Shaa'ban (1436 A.H) kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamed S.A.W? Hii nilikuwa siijui, kumbe wanatumia hadithi kufungua Ramadhan?
 
hilo ni baraza la saudi arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la bakwata??

bakwata limeundwa na nyerere , ccm
 
bora, sasa ngoja nianze kuchat na mchepuko wangu maana ulikuwa umefunga.
 
Lakini hiyo mahakama ya Saudia mbona imesema mwezi haujaandama jioni hii, ila wao leo ndo wanakamilisha siku 30 za mwezi Shaa'ban (1436 A.H) kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamed S.A.W? Hii nilikuwa siijui, kumbe wanatumia hadithi kufungua Ramadhan?

uliangalia tv gani ??
 
Hilo ni baraza la Saudi Arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa Tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la BAKWATA??

BAKWATA C CHOMBO HURU SAUDIA NDO KILA KITU SAWA NA VATICAN KWA WAKATOLIK TENDE MKILETEWA MNAKULA,HIJA MNAKWENDA HUKO,MASOMO YA DINI HUKO,MISAADA YAO MNAPOKEA kwenye mwezi ndo mnakuja misimamo ya ajabu chombo huru redio na TV iman ishatangaza fungulia uckilize takbira naomba unialike kwako hapo kesho kutwa INSHAALLAH NIDABO
 
Sisi tunasubiri tutangaziwe na BAKWATA au tuuone kwa macho yetu ndio tu deklee sikukuu.
Hata hivyo usipoonekana leo kuna uwezekano mkubwa sana ukaonekana kesho.
Safi mkuu
Mwezi wa Saudia unahusu nini huku,wakati hata muda hatuko sawa.
Na wakati huohuo Saudia na Mamlaka yao wao hawakubali mwezi kuonekana kokote Zaidi ya kwao ndio waukubali.Sasa sujui hawa wengine kiherehere cha nini.
 
Back
Top Bottom