Mwezi umeonekana Saudia

Mwezi umeonekana Saudia

mimi nimeuona leo dar es salaam lakini umeonekana kuwa mkubwa inamaana jana umeonekana mahara, na kesho utakywa mkubwa zaidi ya leo.
 
Yote kwa yoote.

Watu mmepima.

Wale waliokula leo na kusali EID leo hembu muwauliza kwanini walijifungia ndani wakisubiria wenye EID yetu kesho ili tuwape kampani.

Sasa subirini kesho muone EID inavyokuwa ndio mtajua kwamba kuna wenye EID na waleee wa mwezi wa kwenye Dish la sembe.

MKAFIRI ka wewe pia unakula iddi?
Laanatullah Kelbu wahed.
Kujipendekeza tu kwa waislamu.
Km vipi si usilimu tu tukukate govi ule iddi kikweli?

Eti "Iddi yetu" mnfnsssssss! Nyoooo! Huna hata haya Kelbu mmoja.
 
Back
Top Bottom