Mwezi umeonekana Saudia

Mwezi umeonekana Saudia

Kesho sikiliza BBC utajua kwamba nchi nyingi dunian zinasheherekea kesho in wabinafsi wachache watasheherekea jumamos

Na mimi ni kesho, nimeshampigia mangi aniwekee kilo moja na ndizi mbili maana ni muda mrefu sijatumia hii kitu!
 
Saudi Arabia: 1. Mohammad Ali - Not Seen, but Eid announced Mohammad Ali reported: According to Supreme Court of Saudi Arabia, the presence of crescent above horizon at Maghrib time on Thursday is sufficient to start the month. So Eid will be on Friday, 17 July 2015. Source: Moonsighting

Singapore: 1. Imam Isa Husayn Johansson from Singapore - Not Seen, but Eid announced Imam Isa Husayn Johansson from Singapore reported: Today, Thursday 16 July, the Mufti of Singapore went live to declare that astronomically, the moon remained over the Singapore hotizon for 12 minutes over Singapore Maghrib time. So Eid is on Friday, July 17, 2015. calculations.
 
Funga na fungua kwa kuona, khalas...

...kipofu atafunga kweli kama ndo hivyo, hili ni jambo la kielimu sio porojo kama siasa. kama nk kuona kwani hao ambao wameona sio watu? zungumzia mambo ya dini bila mazoea.
 
Safi mkuu
Mwezi wa Saudia unahusu nini huku,wakati hata muda hatuko sawa.
Na wakati huohuo Saudia na Mamlaka yao wao hawakubali mwezi kuonekana kokote Zaidi ya kwao ndio waukubali.Sasa sujui hawa wengine kiherehere cha nini.

Kama huna elimu ya dini bora ukae tu kimya
 
Tanzania: 1. Mr Hamza Rijal from Tiny Island of Zanzibar - Not Seen MCW member Mr Hamza Rijal from Tiny Island of Zanzibar reported: The Hilaal of Shawal has not been sighted anywhere within tiny island of Zanzibar on Thursday, 16th July, 2015, therefore the month of the holy month of Ramadhan would have 30 days and the 1st of Shawal 1436 AH would correspond to Saturday 18th July, 2015. Source: Moonsighting
 
Argentina
South africa
USA
Morocco
Jordan
Australia(sydney)
Chile
Israeli
IRani
Lebanoni
Mauritius
Namibia

Etc,

Source:www.makkacalendar.org

Saudi Arabia: 1. Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State - Seen

ICOP member Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State mentioned that the sky was clear, the atmospheric condition was hazy, the crescent was not seen by naked eye, the crescent was not seen by binocular, the crescent was seen by telescope, the crescent was not sought by CCD Imaging Source: ICOP

South Africa: 1. Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal - Seen

Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal reported: On June 17, the moon has been sighted in Port Shepstone, KZN, South Africa. Various people have sighted the moon. Source: Moonsighting

2. Dr. Abdurrazak Ebrahi

Kenya: 1. Mr. Ali Mohamed from Mombasa -Seen

MCW member Mr. Ali Mohamed from Mombasa reported: Today 29th of Shaaban 1436 (17th June 2015), After Maghrib Prayer, I my self saw The new moon with many Muslims when we were leaving Masjid Shibu, Mwembetayari, Mombasa, Kenya. Source: Moonsighting

Kwa TanzAnia umeonekana upande wa zanzibar kama ifuatavyo

Tanzania: 1.Mr. Zaffar Sheriff from Daressalaam City in Tanzania State - Seen

ICOP member Mr. Zaffar Sheriff from Daressalaam City in Tanzania State mentioned that the sky was partly cloudy, the atmospheric condition was hazy, the crescent was seen by naked eye, the crescent was seen by binocular, the crescent was not sought by telescope, the crescent was not sought by CCD Imaging. Source: ICOP

Mr. Zaffar Sheriff said: "The hazy condition did pose a challenge to sight the 25 hour old crescent.Our group of 30 people plus finally confirmed sighting at 6.37PM, about 23
minutes after local sunset. Ramadhaan
 
bakwata na mwezi wao wa CCM mungu wao watatangaza kesho innalillahi wainna illahi rajiun.
allah atawalipa kwa upotoshaji wanaoufanya hawa bakwata
 
Saudi Arabia wana calender fixed
hawatazami mwezi
 
BAKWATA wanasubiri mwezi wa CCM wauandamishe. Haya mambo ya kusubiri kuuangalia mwezi angani yamepitwa na wakati calendar za kizungu miaka ya karibuni zimeanza kuonyesha tarehe ya kuandama mwezi na hata siku moja hawajawahi kukosea.
 
...kipofu atafunga kweli kama ndo hivyo, hili ni jambo la kielimu sio porojo kama siasa. kama nk kuona kwani hao ambao wameona sio watu? zungumzia mambo ya dini bila mazoea.

Kwani maandiko yanasemaje mkuu? Pinga kwa hoja.
 
kwa ninavyojua bara la America sasa hivi ni mchana, sijui mwezi mosi unaweza vipi kuonekana mchana huku jua linawaka.
 
Back
Top Bottom