Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Hongera,nadhani mrejesho utawapa nguvu ambao wanatafuta na wanaona aibu kujitangaza.Wanaume wapo wengi ila waowaji ni wachache
 
Hongera kwa ndoa, ila tambua maisha ya ndoani ni tofauti na maisha ya mahusiano, kwa sasa unapaswa jifunga kibwebwe maana ndoa si lele mama.
 
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress

Asante kama una swali uliza ,nipo free Leo nitamjibu Kila mtu

#Ukipitia post zangu za nyuma utaweza kuelewa zaidi
Nje ya mada

Mkuu ulifanikiwa kumshawishi pacha ako aondoke nyumbani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom