Sikwambii atabadilika, nakuambia Tulia furahia huo wakati wako uliopo bila mbwembwe maana siku umejamba chumba kikajaa harufu akakuacha hapo akalala nje hutaleta mbwembwe za kuposti na kusema kila kitu.Mimi naishi wakati uliopo ,kama yatakuja kuchange ajuaye ni Mungu
So una taka kusema nimekosea kuwapa mrejesho?Sikwambii atabadilika, nakuambia Tulia furahia huo wakati wako uliopo bila mbwembwe maana siku umejamba chumba kikajaa harufu akakuacha hapo akalala nje hutaleta mbwembwe za kuposti na kusema kila kitu.
Vurugu pia ni sehemu ya maishaYanaanzaga Mapenzi yanakuja mahusiano zinafuata vurugu😂
kila la heri wanajf
Achana nae, enjoy Kila kitu ni baraka! Mungu wa mbinguni awatangulieSo una taka kusema nimekosea kuwapa mrejesho?
HeheheheHongera binti, ungekutana na akina Mimi nakuchakaza kisha natoka nduki. Nakutakia maisha mema
Twajua ila kuna stage ikifika vurugu inakuwa mtengano,nayo ni sehemu ya maisha?Vurugu pia ni sehemu ya maisha
Hujakosea. Na maoni pia hatujakosea kuyatoa.So una taka kusema nimekosea kuwapa mrejesho?
Trust me. Ni sehemu ya maisha pia as far as haondoki na roho yakoTwajua ila kuna stage ikifika vurugu inakuwa mtengano,nayo ni sehemu ya maisha?
Nje ya madaSeptember 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress
Asante kama una swali uliza ,nipo free Leo nitamjibu Kila mtu
#Ukipitia post zangu za nyuma utaweza kuelewa zaidi