Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja watu wengi sana Pm Kwa sababu sikuweka vigezo hivyo sikuweza kumjibu yeyote.Niliamuwa kupost tena na kuchanganua nini nataka ,wapo
Tathimini ya ndoa unaweza ifanya ndani ya miezi 2 au mmoja? Hapa sijakuelewa ..lakini hongera
 
Umesema ulikutana na mumeo 2019 lakini naona march 2020
Ulileta uzi ukiwa bado unatafuta mume....
Jibu hapo kuna mkanganyiko kidogo

 


Aisee! Nchi ngumu sana hii, na unaweza kuta ni dume anainjoy wanajf.
Umesema ulikutana na mumeo 2019 lakini naona march 2020
Ulileta uzi ukiwa bado unatafuta mume....
Jibu hapo kuna mkanganyiko kidogo

 
Umesema ulikutana na mumeo 2019 lakini naona march 2020
Ulileta uzi ukiwa bado unatafuta mume....
Jibu hapo kuna mkanganyiko kidogo

Huo ilikuwa mrejesho, soma post ya kwanza
 
Huo ilikuwa mrejesho ,soma post ya kwanza
Nimesoma ila sikuelewa..labda tusome kwa pamoja

Habari za muda huu wana jf

Miezi kadhaa iliyopita nilituma ujumbe hapa jukwaani kwa lengo la kutafuta mwenzio wa maisha, niseme tu nashukuru mana ujumbe ulipokelewa vema hakuna aliyenibeza kama wafanyiwavyo wengine lakini bahati nzuri au mbaya nilikuwa too general kitu ambacho kilipelekea kuwa na pm nyingi hata zingine si kuweza kufungua wala kujibu, (I'm sorry kama nitakuwa nimekosea kusema hayo).

Bado nahitaji kuwa na serious relationship
Sifa zangu
Mkristo :Madhehebu ya protestant
Umri:27-30
Elimu:Graduate
Kazi:Ya kudumu
Rangi: Mweupe pee
Urefu:Above 150
Body : Mwembamba
Makazi; DSM

Sifa za mwanaume ambaye nimekuwa nikimuomba
Asiwe mlevi au mnywaji wa pombe sigara, asiyependa tattoo, kiduku wala mambo yanayofanana na hayo(na Amini kila mtu ana vipaumbele vyake)

Mkristo mwenye hofu ya Mungu anayependa ibada na asiye na mambo mengi

Awe mtafutaji ambaye yupo tayari kushaurika

Inafaa awe na elimu kama yangu au anizidi kama elimu yake ipo chini awe mwenye kujiamini sana Asiwe na zile mitazamo za kiafrica ili tusiwe na migogoro( only great thinker will understand)

Hayo nafikiri yanatosha

Mungu naomba nisaidie nisikutane na mabaharia naomba pm aje mtu sahihi peke yake , amen

Karibu
 
Je huyu ulie mpata march 2020 ni tofauti na wa 2019?
Nanukuu

"Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm

Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.

Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri wenu mzuri katika post yangu nitauzingatia sana

Naomba mtuombee tu na kututakia mema

Asanteni Mungu awabariki wana Jf wote

#Pm imefungwa. "
 
Kuna kitu sehem akiko sawa.

Anyway nakutakia kila la kheri mola akuepushe na kila la shari kwenye ndoa yako mpya.
 
Tatizo si kufunga ndoa, tatizo ni kuishi kwenye ndoa; mfano, mmoja wenu akapata janga la ulemavu, mtavumiliana? uchumi ukayumba, mtavumiliana? mmoja akachepuka, mtavumiliana? n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom