WaliNazi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 851
- 96
jamani mie ktk urembo wote anaokua nao binti.... shida yangu mie uwa ni macho tu jamani...
uwa kuna wasichana wanakuaga na macho flani ivi.. kama yamelegea... huitwa macho mkato..
Nayapenda macho haya kwa sababu kuu moja tu.. that uwa na imagine kama niko na dada huyu kitandani.. nimemchosha hilo jicho si ndo litatoka kabisa...
wewe dada ulio na macho legevu jua I Love.. hata kama sikujui..
wanaume wenzangu nyie huvutiwa na nini?