Mwenzenu macho yananimaliza kabisaaa....

Mwenzenu macho yananimaliza kabisaaa....

Mie big dodo zile, si mnazijuaga zile zinakaaga double double, juu ya tumbo kwny kidari pale na chini mugongo pale! Napenda original sio za mchina, nikiziona tu Mr. Salok huku down hoiii
 
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi

naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.

Kongosho mbavu zangu mie ziko hoi natamani kungekuwa na tuzo ya king of comedy lol!?
 
mie nyuma akipigwa pasi basi amenivuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom