mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi
naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.
Kongosho...watu wanakupenda...
Kwa muda tangu niwe hapa..nasema ww ndo una mvuto kuliko wote...
Nini siri ya mafanikio...?
eeh, unajua ndugu mtangazaji
nimewasaidia kupata vocha za intanet
waliokuwa na visimu vya nokia kitochi nimewawezesha kupata whiteberry
sasa hivi misongamano ya wanajf kwenda internet kefu imepungua.
Sasa hii imepelekea kongosho zao kutoa insulin ya upendo kwangu.
nachizika kabisa.. na lazima nimsalimie... hata kama ni kanisani...
...una uhakika.... una hayo MACHO.... sioni hatari kusafiri Lizzy...
mie huvutiwa na maskio
yakiwa popo basi mie hoi
naimagine umeme ukikatika ananipepea kama sinia.