shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,825
- 13,620
Kwa huo mshahara na jukumu la kulea watu 5,labda ahonge surualiLabda alitaka kusema kuhonga😄 akatetemeka
Kwa huo mshahara na jukumu la kulea watu 5,labda ahonge surualiLabda alitaka kusema kuhonga😄 akatetemeka
Kilo 2 unakula peke yako?Labda wale nusu kwa siku, mimi kwangu kg 2+ ili mambo yakae vyema tumboni.
Na hapo sijaoa mkuu😅
Ehh nakumbuka home mother alikuwaga na ratiba ya msosi, ila hii yako mtibeli ni nyoko.Kwangu
Wali utaliwa mara tatu kwa wiki.
Kilo moja tutakula Milo miwili. Yaani mchana na jioni,
Au jioni na asuhuhi kiporo itategemea na ratiba.
.
Ina tegemea, ila mimi napiga 1kg si unajua wanaume wa nanjilinji.Kilo 2 unakula peke yako?
Daah mkuuNenda pale Tandale Mchele utapata mchele mzuri kwa bei 2000 mpaka 22000.
Watu watano hawamalizi kilo 12 ya mchele kwa mwezi
Kama kuna vyakula vingine kama ugali, makande, chapati n.k.
Nafaka zote hizo ukizinunua kimahesabu hazimalizi 70k
Mboga na viungo 50k ni nyingi Sana.
Nenda mabibo au masoko makubwa chukua kwa jumla uone hiyo pesa ni nyingu kiasi gani.
Ukinunua magengeni lazima ulie.
Kitungu kimoja Mia mbili.wakati ukienda kununua kilo moja elfu moja unapata vitunguu sio chini ya 15
Mkuu hiyo 400k ni nyingi Sana kwa mahitaji ya nyumbani inatosha na akiba unaweka.
Naongea hivyo kwa sababu ndio maisha yetu tunaishi hivyo au tumetoka huko.
Financial skills ndio tatizo kwa watu wengi.
Kaniacha hoi, hapo kwenye kg 12 kwa mwezi😅.Daah mkuu
Wacha nijilazimishe kuheshimu mtazamo wako
😅😅Yaani people 5 wasile kg 12 za Michele Kwa mwezi
Wastan Kwa kujibana kg 1 ya Michele ni watu 1
Bado bei ya mafuta, mkaa au gas.
Bado sabuni ya kufua, kuoga na kuosha vyombo, ka loshen ka shem
😅😅 Yaani budget yako hata dharula ya Pedi ya mwanamke au pampas ya mtoto hujaweka.
Ngoja nikupe budget ya kujibana ya watu 5
Michele kg 30 x2200 = 66,000
Unga kg 30 × 1500= 45,000
Mafuta ya kupika lita 5 = 25, 000
Mkaa 2000@ siku = 60,000
Maharage 2500 kg 15= 37500
Sabuni= 10,000
Maji Kwa mwezi= 10,000
Kodi Kwa mwezi = 80,000
Nauli Kwa mwezi= 30,000
Watoto shule nauli na kula labda 2
@ 1 mpe 2000= 120,000
Dharula Kwa maana mtu akiumwa, pampas, Pedi ya shem, n. K
= 50,000
Yaani hapo umejibana hata soda hujanywa,
Hajawahi kuishi na familia huyuKaniacha hoi, hapo kwenye kg 12 kwa mwezi😅.
Kiukweli nimetoka kapa bwashee 😁
Aende nilianza na laki 5.Laki 4 yeye na watoto watatu hapo daslamu atatoboa bwashee?
gari atoe wapi hata gharama ya mafuta iko juu sanaChakula cha 120k wale watu 5 Kwa mwezi mkuu
Kuanzia chai, lunch na dinner mwezi mzima
Kwa Sasa kg ni 2800 hadi 3000
Hivi utaishi Dar bila maji kupika, kunywa, kufua n.k
Mke na yeye hatumii simu kuweka vocha wala bando
Nauli? Au ana gari?
Hakuna dharula? Mna uhakika familia ya watu 5 mtatoboa mwezi bila kuhitaji hata Panadol? Kunyoa, kuvaa
Mke na watoto awaache kijijini,aje apambane mwenyewe anachokipata anawatumia!
Kwa huo mshahara na hiyo familia yake kwa dar es salaam hatoboi hata afanyaje na asipokua na akili atadanganywa analogwa.. mwambie abaki huko huko au aombe ahamishiwe rombo vijijini,simiyu,tabora, mtwara na huko lindi labdaYupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
Dar ugumu wake ni pango tena kama utataka vyumba vya kisasa,
Pili ni nauli.
Ila gharama za maisha zipo chini kwenye mavazi na chakula.
Mfano kwangu!
Mimi bajeti yangu ya kula ni 290k kwa mwezi na ninafamilia ya watu watano.
1. Nafaka 100k.
Mchele 12kg Tsh 27,000
Maharage 10Kg 28,000
Unga wa ngano. 10kg. 18,000
Unga wa Dona 10kg. 14000
Tambi pakti 5. 10,000
Makande. 5kg. 7500
Jumla. 115k
2. Vitoweo
Kuku wawili broiler. 16,000/=
Nyama ng'pmbe 2kg. 24,000/=
Trey mbili za mayai ya kisasa. 17,000/=
Dagaa mwanza 1kg. 12,000
Samaki 20,000/=
Jumla. 89,000/=
3. Vinywaji na mahitaji engine
Maziwa lita 10. 15,000/=
Mafuta lita 2. 12,000/=
Sukari. 3kg. 9,000
Chumvi pakti tatu. 1500
Jumla 27,500/=
4. Matunda, mboga na viungo
Viazi mviringo sado 4,000/=
Nyanya. Sado 2. 6,000
Bamia 2,000
Vitunguu kilo mbili. 3,000
Nyanya chungu. 2,000/=
Limao. 2000
Pilipili. 1000
Tangawizi. 2000
Pilipili manga 3000
Mbogamboga. 10,000
Matunda. 5,000/=
Jumla 50,000/=
Mwambie 400k ya Tzii sio sawa na ya Keii.Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
Hiyo hela uloweka hapa ni nauli ya dar kwenda na kurudi kazini, chakula cha mchana kazini, maji ya kunywa kazini pamoja na pango . Hapo familia hakunaDar ugumu wake ni pango tena kama utataka vyumba vya kisasa,
Pili ni nauli.
Ila gharama za maisha zipo chini kwenye mavazi na chakula.
Mfano kwangu!
Mimi bajeti yangu ya kula ni 290k kwa mwezi na ninafamilia ya watu watano.
1. Nafaka 100k.
Mchele 12kg Tsh 27,000
Maharage 10Kg 28,000
Unga wa ngano. 10kg. 18,000
Unga wa Dona 10kg. 14000
Tambi pakti 5. 10,000
Makande. 5kg. 7500
Jumla. 115k
2. Vitoweo
Kuku wawili broiler. 16,000/=
Nyama ng'pmbe 2kg. 24,000/=
Trey mbili za mayai ya kisasa. 17,000/=
Dagaa mwanza 1kg. 12,000
Samaki 20,000/=
Jumla. 89,000/=
3. Vinywaji na mahitaji engine
Maziwa lita 10. 15,000/=
Mafuta lita 2. 12,000/=
Sukari. 3kg. 9,000
Chumvi pakti tatu. 1500
Jumla 27,500/=
4. Matunda, mboga na viungo
Viazi mviringo sado 4,000/=
Nyanya. Sado 2. 6,000
Bamia 2,000
Vitunguu kilo mbili. 3,000
Nyanya chungu. 2,000/=
Limao. 2000
Pilipili. 1000
Tangawizi. 2000
Pilipili manga 3000
Mbogamboga. 10,000
Matunda. 5,000/=
Jumla 50,000/=
Bajeti yake inabana Sana,itafanya hao watoto waishi mazingira magumu Sana!