Mwenzangu amepata kazi Tanzania

Mwenzangu amepata kazi Tanzania

Mkuu mimi sijasema hela nyingi nazungumzia uharisiaa wa maisha hiko ndio vipato vya watu huku mitaani so iwe ndogo au kubwa haibadiri ukweli.

Sasa ukiandika kwa mshangao naona kama unatoma MARS sio Planet Earth.
Kipato cha mtu ni siri yake , na sio kila mtu anajua watu wanaishi vipi, sasa kwanini uone watu wanatoka Mars?
 
Kipato cha mtu ni siri yake , na sio kila mtu anajua watu wanaishi vipi, sasa kwanini uone watu wanatoka Mars?
Kipato cha mtu sio vipato vya watu. Uharisia ni huku mitaani asilimia kubwa hawapati hata hio 400K kwa mwezi ukiwaambia unalipwa 400K wanaona ushatoboa.

Kuna mzee nafanyagnae kazi analipwa hio 400K anafamili na umri wa mzazi wangu 60's
 
Mnafanya nae kazi wapi? Unafikiri kwamba sijui kuna wanaolipwa mpaka 60k ? Huyo tumejiuliza kwa maisha ya dar na familia ya watu watano
 
Nnje na dar sawa kwa dar pagumu kwa hiyo hela

Dar ugumu wake ni pango tena kama utataka vyumba vya kisasa,
Pili ni nauli.
Ila gharama za maisha zipo chini kwenye mavazi na chakula.

Mfano kwangu!
Mimi bajeti yangu ya kula ni 290k kwa mwezi na ninafamilia ya watu watano.

1. Nafaka 100k.
Mchele 12kg Tsh 27,000
Maharage 10Kg 28,000
Unga wa ngano. 10kg. 18,000
Unga wa Dona 10kg. 14000
Tambi pakti 5. 10,000
Makande. 5kg. 7500
Jumla. 115k

2. Vitoweo
Kuku wawili broiler. 16,000/=
Nyama ng'pmbe 2kg. 24,000/=
Trey mbili za mayai ya kisasa. 17,000/=
Dagaa mwanza 1kg. 12,000
Samaki 20,000/=

Jumla. 89,000/=

3. Vinywaji na mahitaji engine
Maziwa lita 10. 15,000/=
Mafuta lita 2. 12,000/=
Sukari. 3kg. 9,000
Chumvi pakti tatu. 1500

Jumla 27,500/=

4. Matunda, mboga na viungo
Viazi mviringo sado 4,000/=
Nyanya. Sado 2. 6,000
Bamia 2,000
Vitunguu kilo mbili. 3,000
Nyanya chungu. 2,000/=
Limao. 2000
Pilipili. 1000
Tangawizi. 2000
Pilipili manga 3000
Mbogamboga. 10,000
Matunda. 5,000/=

Jumla 50,000/=
 
Noma sana mkuu , kwa sisi wenye bajeti za vinywaji changamshi , hapo lazima uwe mwizi😄
 
Chakula cha 120k wale watu 5 Kwa mwezi mkuu
Kuanzia chai, lunch na dinner mwezi mzima
Kwa Sasa kg ni 2800 hadi 3000

Nenda pale Tandale Mchele utapata mchele mzuri kwa bei 2000 mpaka 22000.

Watu watano hawamalizi kilo 12 ya mchele kwa mwezi
Kama kuna vyakula vingine kama ugali, makande, chapati n.k.

Nafaka zote hizo ukizinunua kimahesabu hazimalizi 70k
Mboga na viungo 50k ni nyingi Sana.
Nenda mabibo au masoko makubwa chukua kwa jumla uone hiyo pesa ni nyingu kiasi gani.

Ukinunua magengeni lazima ulie.
Kitungu kimoja Mia mbili.wakati ukienda kununua kilo moja elfu moja unapata vitunguu sio chini ya 15
Hivi utaishi Dar bila maji kupika, kunywa, kufua n.k
Mke na yeye hatumii simu kuweka vocha wala bando
Nauli? Au ana gari?
Hakuna dharula? Mna uhakika familia ya watu 5 mtatoboa mwezi bila kuhitaji hata Panadol? Kunyoa, kuvaa

Mkuu hiyo 400k ni nyingi Sana kwa mahitaji ya nyumbani inatosha na akiba unaweka.
Naongea hivyo kwa sababu ndio maisha yetu tunaishi hivyo au tumetoka huko.

Financial skills ndio tatizo kwa watu wengi.
 
Noma sana mkuu , kwa sisi wenye bajeti za vinywaji changamshi , hapo lazima uwe mwizi😄

Sisi wengine hatujaajiriwa.
Tumeanzia kwenye kipato kwa mwezi unaingiza 200k unasota hvyo karibu miezi sits. Inaongezeka 260k.
Mwakani 300k

Kuongezeka kunategemea na unatunza kiasi gani na utawekeza izae kwa kiwango gani.

Ninaposema No mademu no Gamble basi formation ndio hiyo.

Kujibana mwanzoni hasa miaka mitano ya awali hakuepukiki.
Ukishindwa kujibana na hauna kazi ya kueleweka au kazi kipato kipo below 1M nakuhakikishia Mji utakuwa mgumu Sana
 
Nakuelewa sana bwashee
 
Nakuelewa sana bwashee

Hapo kitakachomchanganya sio 400k

Bali ni mpango kazi wake,
Mtazamo
Mkewe kama ni biringanya.
Kitaaolojia. Kujua mtaa na mfuno wa uchumi.
Kujidhibiti na matamanio yake ambayo ni liabilities kama Pombe na mademu na kamari. N.k

Kuvaa avae kawaida ila awe msafi.
Asihitaji mbwembwe na kuonekana juu wakati kipato chake ni below 1M yaani maskini
 
Nafikiri akisoma yote haya atapata picha kamili akija Tanzania kwa kulipwa kipato cha 400k .
 
Labda wale nusu kwa siku, mimi kwangu kg 2+ ili mambo yakae vyema tumboni.

Na hapo sijaoa mkuu😅

Kwangu
Wali utaliwa mara tatu kwa wiki.
Kilo moja tutakula Milo miwili. Yaani mchana na jioni,
Au jioni na asuhuhi kiporo itategemea na ratiba.

Wali/pilau nyama, maharage + mboha aa majani constant
Wali samaki. Maharage + mboga za majani constant
Wali/pilau Kuku, maharage + mboga za majani Constant

Siku moja inakuwa ya kufunga ndani ya Wiki. Ingawaje hapa hiyo Siku kufuturi ndio mlo.
 
Back
Top Bottom