650
JF-Expert Member
- Jun 6, 2024
- 300
- 409
Wakuu habari za mchanaa
Katika pitapita zangu huko mitandaoni kuangalia kazi za media na editors mbalimbali
Naona Tanzania Bado Tupo NYUMA sana yaani kazi za media na ma editor wakubwa ni za kawaida sanaa ukilinganisha na za maeditor wa Ulaya, sijajua wanafeli wapi shida ni tools au ni Nini ?
Kwa mfano
View: https://www.instagram.com/reel/DeKDmkmh_gM/?rpxt=eDVhcGl5dzhycnNq