Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,739
- 92,182
Hiyo hela uloweka hapa ni nauli ya dar kwenda na kurudi kazini, chakula cha mchana kazini, maji ya kunywa kazini pamoja na pango . Hapo familia hakuna
Watu wanalipwa chini ya hiyo na wanafamilia tena labda nikuambie nusu ya unaowaona huko njiani pato lao halifiki hiyo pesa