Mwenzangu amepata kazi Tanzania

Mwenzangu amepata kazi Tanzania

Dah noma sana

400k
Kwa kijana mwenye familia ya watu watano inatosha kwenye basic needs na ukiwa na nidhamu sana hukosi 50k ya Akiba.

1. Aepuke kununua chakula rejereja.
2. Aepuke kutumia nauli kwenda sehemu isiyoingiza kipato.
3. Aepuke kununua mahitaji kama Pampas, kiberiti, sabuni, dawa rejareja.

4. Bundle atumie la Tsh 10k kwa mwezi anunue Kile ki routers cha elfu hamsini ili atumie yeye na mkewe. Kwa Siku zisizidi 400MB

6. Asiende Kanisani au eneo lolote linalomhitaji kutoa pesa alafu hatapata pesa.

7. Aepuke kupikapika mara kwa mara. Akipika apike chakula cha mchana na jioni. Yaani apike mara moja

8. Asile Mama ntilie. Kama ataweza aondoke na msosi wake. Anaweza chukua viazi au magimbi na ndizi na maji. Kwa mlo mmoja inatosha kabisa. Sio lazima afakamie hovyohovyo.

9. Hali hiyo akiweka akiba kwa miaka miwili hakosi Milioni Moja.

10. Aendelee kuweka akiba. Huku kwenye milioni moja. Atoe nusu. Ampe mkewe kama mkopo wa mtaji. Afanye biashara ya mandazi, au vitafunio au juisi.

11. Kuliko mkewe akakope vikoba akatwe riba. Boraa akope ndani.
Lengo sio kumkopesha mkewe. Lengo mkopo uwe motivation kwa mkewe kwamba anatakiwa kurudisha killa wiki kiasi Fulani

Akienda hivyo huku akifungua channel zingine huku akizuia milango ya matumizi yasiyo ya lazima miaka mitatu mingi Sana.
 
Hii ni ngumu kumeza🤔
 
Matibabu na pango/karo ya nyumba(house rent) juu ya mwajiriwa au mwajiri?
 
Pango nishaweka 80k

Matibabu kwa mtu anayejitunza na kijana hawezi kiyafikiria. Kinga ni Bora kuliko Tiba

400k kwa kijana Smart inamtosha kabisa kubadilisha maisha yake. Kama anautulivu na atapiga zile hatua ndogondogo bila pupa
 
Tupe budget break down
Kwa mtu mwenye mke na watoto watatu, wataishi vip Kwa kutegemea mshahara wa 400
Apange nyumba, chakula, matibabu, usafiri, bills za umeme, maji,
Mavazi
Nauli, watoto shule, dharula n. K
 
Tayari nishatoa bajeti mbona mkuu.

Soma kule juu.

Hapo mambo ya muhimu ni
Chakula 120k
Kodi 80k vyumba viwili

Ukishakuwa na uhakika wa Kula na kulala maisha hayawezi kukushinda labda uwe mjinga wa kiwango cha juu Sana.
 
Chakula cha 120k wale watu 5 Kwa mwezi mkuu
Kuanzia chai, lunch na dinner mwezi mzima
Kwa Sasa kg ni 2800 hadi 3000
Hivi utaishi Dar bila maji kupika, kunywa, kufua n.k
Mke na yeye hatumii simu kuweka vocha wala bando
Nauli? Au ana gari?
Hakuna dharula? Mna uhakika familia ya watu 5 mtatoboa mwezi bila kuhitaji hata Panadol? Kunyoa, kuvaa
 
Ya ukweli yapoje? 400k kwa watu wa tano ipangilie kwa maisha ya hapo daslamu
Mkuu mimi sijasema hela nyingi nazungumzia uharisiaa wa maisha hiko ndio vipato vya watu huku mitaani so iwe ndogo au kubwa haibadiri ukweli.

Sasa ukiandika kwa mshangao naona kama unatoma MARS sio Planet Earth.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom