Mwalimu Tanzania Dar es Salaam mjiniJazia nyama, anakuja Tanzania kutokea wapi? Huo mshahara analipwa nani na kwa kazi gani
Kwa jiraniJazia nyama, anakuja Tanzania kutokea wapi? Huo mshahara analipwa nani na kwa kazi gani
Kiukweli nimetoka kapa bwashee 😁Kwa jirani
Analipwa laki 4 ana mke na watoto.
Kenya.Kwa jirani
Labda amefikiria laki nne ya 🇰🇪Analipwa laki 4 ana mke na watoto.
Duuuuh haya mambo ni magumu
Laki 4 yeye na watoto watatu hapo daslamu atatoboa bwashee?Kenya.
😅😅 LabdaLabda amefikiria laki nne ya 🇰🇪
😅😅 Labda
400k upange nyumba, watu wapate chakula, usafiri
Huyo mfanyakazi atanunua hata shati kweli?
Hamna kazi hapoSijui mkuu
Dah noma sana1. Kweli maisha magumu.
Yaani uje Tanzania kutokea wapi ili ulipwe 400k?
2. Tufanye kwake inamaslahi kwake.
Hiyo kazi ipo wapi(eneo gani) ili apewe location kwa Dar itakayoendana na 400k apate na Saving.
3. Amesema wahindi(kwa mhindi) Hawa bases zao ni Upanga, Kariakoo, Osterbay na Masaki.
4. Tuchukulie kwa bases hizo ndio eneo la Kazi.
5. Akae Magomeni chumba sebule kisichozidi elfu 80. Chumba cha giza. Au kama kina umeme kisizidi 80k
6. Hesabu ya Kodi 80k
Nauli. 50k
Chakula aende Tandale au mabibo. Achukue mzigo wa 120k kwa mwezi inatosha.
Bills za home kama taka, maji, umeme 30k
Akiba 50k
Others 50k
Watoto nauli 30k
400,000 una mke na watoto watatu hapo bado hujaongeza michepuko itasha kweli?
Huo mshahara wa beki 31. Kweli maisha magumu.