PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Mbele kwa mbele
Kama kawa Hakuna Kuala mpaka kieleweke
Mbele kwa mbele
pepleooooooooooooos
mwache akafie mbele ya safari-wala hiyo sio hbr tena-alihama lowasa sembuse huyo boya.
Hawaridhiki bado na kasi ya bulldozer?
Anayedharau ni sawa na mgonjwa ambaye hajui ugonjwa naougua na mda mfupi tu utamuua, ccm bado iko ICU ila wanufaika na mashabiki wamefunga vitambaa usoni na kuziba masikio, ili kuikomboa ni lazima ijitenge na serekali, na Magufuli apeleke mikataba ya madini,mafuta na gesi, ajira na kazi, pamoja na kodi kwenye kamati za bunge ili kujenga taasisi imara ambazo hazifungamani na ccm, hii itaikoa ccm na magufuli. na hii si rahisi kwao kufanya kwani wenye chama wanapigia pesa hapo.kiongozi mwenye maono ya kujenga Taifa imara kiuchumi,kisiasa na kijamii avunje maslahi ya viongozi wa chama na familia zao ili nchi iokoke bila hivyo ni ngojera na maigizo tu tutashuhudia.
Hapo kwa majizi sijakupata vizuri mbona kama tumesha wakaribisha....
Huku chamani
Mimi mwenyewe nina mpango wa kuhama chadema nakuhamia ccm rais nilie kuwa namtaka nikama magufuli bado mwezi mmoja mwingine nihakikishe kasi yake hapa kazi tu
Kama kawa Hakuna Kuala mpaka kieleweke
senema hizo...mwambie apitie mikataba ya madini na zilenyumba alizouza...
Uchagani huko kaka. Wala usishangaeHawaridhiki bado na kasi ya bulldozer?
CCM ya kuelekea 2020!
Ataondoka mmoja na wata rudi mamia na maelfu!!!
Fisadi mkuu yuko huko lazima fisadi watoto wamfuate!!
mwache akafie mbele ya safari-wala hiyo sio hbr tena-alihama lowasa sembuse huyo boya.