Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,013
- 32,461
Eti mimi namtetea maskini japo ale milo mitatu kwa siku ambayo inapatikana kwenye rasilimali zake alizojiwekezea na mtawala wake anazitumia vibaya, alafu unaniambia cha kwangu nijinyime nimpunguzie huyo maskini? Mbona hiyo haipo? Ila kama mimi nina zaidi na yeye hana ndio nitapunguza cha kwangu.
Freeman Mbowe mali alizonazo ni za kwake na kwajasho lake mwacheni azitumie atakavyo, ila kuisema CCM ni kwamba haina umuhimu wa kutumia pesa za serikali na kununua vitu vyaakifahari wakati watu wake wanadhiki na rasilimali zinafujwa vibaya na walafi wachache
Mwenyekiti wa Ukombozi na Ufahari.