Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

wabongo sijui lini tutakua kimawazo,kwani mbowe ana pesa kiasi gani ashindwe kununua ata ndege ya kutembelea mwenyewe??kwani akikaa tu akala maisha nyie mkaendelea kusota kimaisha na magamba yeye anashindwa nini??mnajaribu kutetewa nyie wenye maisha duni baada ya kuunga mkono nyie mnadidimiza,alafu watoa hoja kama hawa ndo unakuta wanamaisha duni kweli yaan,unakaa kudiscus kigali cha mil cjui ngap baada ya kudiscus sera anazotoa!!
ondoa upumbavu wa kimawazo kichwani kwako bana
 
Uko sahihi mkuu! Nampongeza sana Mnyika Hana Makuu kaka wa watu. Kusema ukweli Kama wanapiga kelele Viongozi wa Serikali wanunue Magari ya chini wao walitakiwa kuwa mfano wa kutumia hayo Magari hata Kama wanatumia kwa fedha zao. Tuone maisha Yao halisi Na wala si kuwatupia mawe wenzao.

Sina hakika kama hii ndiyo maana yako labda unieleweshe:-
1.kwa vile unaongelea kuwakomboa watu ambao wanakula mlo mmoja kwa siku nawewe kula kama wao ?
2.kwa vile unataka kuwakomboa watu wanaotembea uchi na wewe tembea hivyohivyo ?AU
3.kwa vile unataka kuwakomboa watanzania wasio na ajira na wewe acha kazi hata kama unayo ya kujiajira ?
Naomba ushawishi wako pamoja na wapambe wako nielewe
 
William usichanganye mambo, yanayolalamikiwa na wananchi ni matumizi mabaya ya kodi zao kwenye mambo yasiyokuwa na umuhimu wowote kwa maisha na ustawi wa walipa kodi. Hapo hata kama umeona ma-VX V8 ni kwamba hayajanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wa TZ, mafuta na gharama za matengenezo(maintenance) hazitokani na hazina yetu. Umeona jinsi ambavyo wanaaminika kiasi cha kuweza kuwachangisha watu kwenye mikutano yao, jaribuni na nyinyi kuomba michango ya wananchi kama mtapata hata thumni.
mkuu umesema cha maana sana huyu jamaa nilikua namuheshimu sana humu jf lakini kwa hili nooo he is just a piece of trash
 
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.
brother tunakueshimu zamani baba alinieleza mabaharia wengi hawakwenda shule ni makuli wa melini sasa usitake nikuweke kwenye kundi hilo tunakueshimu mkuu na wewe jiheshimu
 
Sina hakika kama hii ndiyo maana yako labda unieleweshe:-
1.kwa vile unaongelea kuwakomboa watu ambao wanakula mlo mmoja kwa siku nawewe kula kama wao ?
2.kwa vile unataka kuwakomboa watu wanaotembea uchi na wewe tembea hivyohivyo ?AU
3.kwa vile unataka kuwakomboa watanzania wasio na ajira na wewe acha kazi hata kama unayo ya kujiajira ?
Naomba ushawishi wako pamoja na wapambe wako nielewe
you hit the nail in head
 
does it mean mbowe ana vx 2 alizopewa na serikali?
ni moja hilo lingine hakuna verification ni la nani huna haja kuconclude ni la mbowe
hata hivo nimeonaa hoja ya malechela namwona kituko
nlidhani angewasemea magamba wenzie waache kutumia mavx wawajali wananchi yeye anaashupalia kumlaumu mbowe
mfano aliotoa amlenge rais wake na mabenzi ya ikulu na pia mavx anayotembelea huku anaowaongoza wakitaabika
acheni ushabiki wa usiokuwa na tija teteeni maslahi ya mwananchi halisi
mimi sina chama chochote na sishabikii siasa za maji taka zinazofaanywa na CCM
nina uchungu mno 2015 watakapolia na kusaga meno
Ki'vipi wakati kwenye picha tu yanaonekana mawili?,"kupenda bwana kweli u'pofu"
 
Nimeona kwanini hapa JF kuna ulazima wa kupitishwa kile kipimo cha IQ..,Kuna tatizo hapa.,tena sio dogo.
 
Back
Top Bottom