Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Vx mbona gari ya kawaida tu isitoshe inaonekana mitumba ya dubai
 
Ndio maana CHADEMA wanahamasisha katiba mpya....yaani tutapendekeza hata standard ya usafiri kwa viongozi wetu.
Yote tunayojionea tutayarekebisha kupitia katiba....when they get into power,the new constitution will be shaping their decisions.
 
Sidhani kuwa na kutumia VX ni tatizo. Tatizo ni kuwa unayo mangapi na je yana ulazima kuwa ? tunaambiwa kuwa serikali inamiliki magari haya yenye thamani ya Tshs 5 Trilioni......na ndio hoja yenyewe lakini si kuwa serikali isiwe kabisa na magari haya!!!.......unajua hii pesa ina weza kufanya mangapi? Mbaya zaidi maafisa wa serikalai wanfanya biashara katika manunuzi ya haya magari....mimi nimesisistiza kuwa haya ya CHADEMA siyo kama yale ya serikali kwa kuwa ni ya mtumba na hayana gharama ndio maana AURORA anayatumia katika patrol....

Kaka yaani huwezi kumfundisha mtoto wako tabia nzuri huku ukitolea mfano wa madhara mabaya kwa kutumia jirani yako anazini nje ya ndoa kwa kutumia pesa ya ofisi halafu wewe unazini kwa kutumia pesa yako eti ukawa na nafuu kimaadili teana unaendelea kuwa wewe huwa unapeleka vimada wako guest house za bei rahisi ilhali jirani yako huwa anawapeleka hotel za bei kubwa

Hapo una nafuu kaka??? Mtoto wako ajifunze nini mkuu???
 
Ni sawa Kufananisha Kifo na usingizi!! Ila kwa vile serekali iliyopo ilisha fisadi hela zote na barabara Hakuna Then Ni Bora kutumia Gari yenye Uwezo wa Kuwafikia Wananchi Vizuri!!!
 
ikiwekwa sheria kandamizi ya kuzuia watu wasitembee hata kama huitaki unatakiwa kwanza usitembee upigane mpaka iondolewe kinyume chake utavunjwa kiuno kwa hiyo sheria mbovu.
hizi sheria za kifisadi zipo tunazipinga ili zibadilishwe lakinikabla hazijabadilishwa inabidi tuzitekeleze hata kama ni mbaya.

mashangingi tunatumia na sheria na sera tutazibadilisha kwenye katiba mpya.
 
hoja haina mashiko kwa sasa
hilo ni vx moja tu je ukihesaabu hayo ya mawaziri, wakuu wa vitengo, wakuu wa mikoa na wilaya ni mangapi?
haiingii akilini mkuu wa wilaya anatembelea vx la millioni 150 wkt vijiji vyake havina maji,barabara,hospoitali wala madawati.
ukitaka kumtoa mvuta bangi kuacha bangi nawe vuta bangi afu mweleze madhara yake ndicho anachofanya mbowe
gari magamba si wamempa? amerudisha akaambiwa lazima atumie sasa afanyeje
?auze? uwezo wa kuliuza hana bora alitumie kukiimarisha chama ili kuinyonga vema CCM
KAMUA BABA CCM WAMEKUPA BOMU LA KUWALAIPUWA WAO WENYEWE

Ki'vipi wakati kwenye picha tu yanaonekana mawili?,"kupenda bwana kweli u'pofu"
 
Kaka yaani huwezi kumfundisha mtoto wako tabia nzuri huku ukitolea mfano wa madhara mabaya kwa kutumia jirani yako anazini nje ya ndoa kwa kutumia pesa ya ofisi halafu wewe unazini kwa kutumia pesa yako eti ukawa na nafuu kimaadili teana unaendelea kuwa wewe huwa unapeleka vimada wako guest house za bei rahisi ilhali jirani yako huwa anawapeleka hotel za bei kubwa

Hapo una nafuu kaka??? Mtoto wako ajifunze nini mkuu???

Kwa hiyo unataka umiliki wa VX uwe haramu au? Hii ni kwa mujibu wa mfano wako. NIMEKWAMBIA TATIZO SIO SERIKALI KUMILIKI HAYO MAGARI bali ni KWA KIWANGO NA UMUHIMU GANI? Inaingia akilini kwako kweli mpaka OCD ananunuliwa VX wakati askari doria hawana gari ya kazi wala petroli? Mkuu wa wilaya ana VX hospitali haina ambulance? Hayo ya CHADEMA ni mangapi hadi ufanye ulinganifu na ya serikali? Wewe umesikia CHADEMA wakilalamikia CCM kutumia VX( Nimekuonyesha mifano hapo juu)
 
Tut tut tut..........hatuelewani kumbe? Hebu soma post #16.........halafu ona huyu RIDHIWANI alipokuwa anazungusha fomu za baba mwaka 2010 labda ndio utanielewa

1.JPG

Kuna mtua hapa anasema kama ni hoja ya private cars hata haya hayana namba za serikali eti.........hoja yako hapa ni ipi???? Samahani kwa usumbufu lakini
 
kuna mtua hapa anasema kama ni hoja ya private cars hata haya hayana namba za serikali eti.........hoja yako hapa ni ipi???? Samahani kwa usumbufu lakini

hoja yangu ni kuwa umewaskikia chadema wakisema lolote kuhusu ccm kutumia vx?.........au walisemea serikali?hapo ndio utanielewa labda!
 
Kwa muda huu mchache uliopo huwezi kungojea mpaka msimu wa kampeni ufikie.

Laiti kama angetumia Helikopta, basi Magamba kwenu ingekuwa Mada..

Nawapongeza CHADEMA kwa kutumia Muda vizuri.

Usikurupuke kutoa thread, jaribu kufikiri Madini na Maliasili zetu zinavyovunwa na Watu fulani...

#MAGAMBA KAJIPANGENI.
 
ulitaka aende kusini na corolla? Barabara za kussuport hilo NyiNyiemu mmezijenga?
 
Kwa hiyo unataka umiliki wa VX uwe haramu au? Hii ni kwa mujibu wa mfano wako. NIMEKWAMBIA TATIZO SIO SERIKALI KUMILIKI HAYO MAGARI bali ni KWA KIWANGO NA UMUHIMU GANI? Inaingia akilini kwako kweli mpaka OCD ananunuliwa VX wakati askari doria hawana gari ya kazi wala petroli? Mkuu wa wilaya ana VX hospitali haina ambulance? Hayo ya CHADEMA ni mangapi hadi ufanye ulinganifu na ya serikali? Wewe umesikia CHADEMA wakilalamikia CCM kutumia VX( Nimekuonyesha mifano hapo juu)

Kaka tutakesha bure hapa.....ila watoto wa kiswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchichaaaaaa.......!!!!!!
 
Enyi ndugu waTaifa hili hii hoja inaenda na inarudu kila kukicha si kwamba watu ni machizi au laa.....ni kwamba watu siku hizi si wakuburuza tuu kama misukule....Hii hoja ya mashangingi chama kama kweli ni cha watu then ajitokeze kiongozi na kutolea maelezo ya kina ikiwa ni pamoja na kutoa comparative advantages and disadvantages za magari mengine.

Lakini majibu kama vile
Hilo lake binafsi
Au hili ni la mtumba......sijui Aurora wameyafanya ni road patrol
Na majibu kama haya......yataturudisha kwa mada hii kila uchao......shime wahusika.....sio wafuasi wa chama mje hapa muwape wanachama wenu maelezo

issue huwa ni pesa ya nani imetumika kununua hilo shangigi, ikitumika pesa ya mbowe mi sioni tabu ikitumika kodi yangu hapo ndio tatizo, sasa kama huelewi hii tofauti maana yake hata hoja yenyewe huielewi
 
Sidhani kuwa na kutumia VX ni tatizo. Tatizo ni kuwa unayo mangapi na je yana ulazima kuwa ? tunaambiwa kuwa serikali inamiliki magari haya yenye thamani ya Tshs 5 Trilioni......na ndio hoja yenyewe lakini si kuwa serikali isiwe kabisa na magari haya!!!.......unajua hii pesa ina weza kufanya mangapi? Mbaya zaidi maafisa wa serikalai wanfanya biashara katika manunuzi ya haya magari....mimi nimesisistiza kuwa haya ya CHADEMA siyo kama yale ya serikali kwa kuwa ni ya mtumba na hayana gharama ndio maana AURORA anayatumia katika patrol....

Tena waambie kuwa kila idara huku mikoani wanatumia kama sio VX basi Hard Top! Service ya gari moja unaambiwa pale toyota ni laki 3 na ushee. Hata tarishi anatumwa sokoni kununua parachichi anapewa dereva na hard top! Mkuu wa mkoa anaka Kilometa 1 toka ofisini kwake naye anatumia VX! Si atembee tu! Kwa wale wanaojua moa wa Kilimajaro mfano kuna umbali gani toka kwa ofisi ya mkuu wa mkoa hadi nyumbani kwake? Lami tupu hata angeamua kutembea haitamchukua dakika 10 kufika ofisini!
Haya ndiyo matumizi tunayoyapinga brother na sio vinginevyo!
 
VX-standard kama imenunuliwa na pesa za WALIPA KODO(wananchi) alafu Mbowe anatanulia hapo tunaweza kuhoji kinyume na hapo ni ngumu.
 
Hivi ccm mnayo kauli gani kuhusu mauaji haya?
mauaji.jpg
 
Enyi ndugu waTaifa hili hii hoja inaenda na inarudu kila kukicha si kwamba watu ni machizi au laa.....ni kwamba watu siku hizi si wakuburuza tuu kama misukule....Hii hoja ya mashangingi chama kama kweli ni cha watu then ajitokeze kiongozi na kutolea maelezo ya kina ikiwa ni pamoja na kutoa comparative advantages and disadvantages za magari mengine.

ole, usijifanye kuwa umesahau, kiongozi wa kambi rasmi bungeni alilikataa hilo gari, serikali ikamshinikiza, sasa yy afanyeje?
 
Back
Top Bottom