Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Eti mimi namtetea maskini japo ale milo mitatu kwa siku ambayo inapatikana kwenye rasilimali zake alizojiwekezea na mtawala wake anazitumia vibaya, alafu unaniambia cha kwangu nijinyime nimpunguzie huyo maskini? Mbona hiyo haipo? Ila kama mimi nina zaidi na yeye hana ndio nitapunguza cha kwangu.

Freeman Mbowe mali alizonazo ni za kwake na kwajasho lake mwacheni azitumie atakavyo, ila kuisema CCM ni kwamba haina umuhimu wa kutumia pesa za serikali na kununua vitu vyaakifahari wakati watu wake wanadhiki na rasilimali zinafujwa vibaya na walafi wachache

Mwenyekiti wa Ukombozi na Ufahari.
 
huyu willie ana matatizo ya akili kama baba yake aliowambia wananchi wake wale pumba wakabiliane na njaa wakati akiwa waziri mkuu hhvi kama ni siasa za utumbo kwanini anatakaka kuiingia kwa hiyo anachukulia watanzania ni wajinga wanaofuatilia huyu atufai na alipokwenda ulaya si a alipelekwa na baba yake kwa kodi za watanzania nafikiri ana matatatiyo zaidi ya haya watanzania huyu ni kirusi kWA kutukashfu kutuita utumbo hapo una madaraka si utatuita kinyesi kweli we timamu siku hizi umeacha kusema baba yangu ni waziri mkuu wa tanzania
 
mwenyekiti wa ukombozi , ni harakati za maana kimsingi under m4c, kwa mahala pake kusimamia na kuongoza harakat za ukomboz mpaka upatikane, ufahari mali alizonazo hazitokan na ufisadi ni jasho lake na forefazas, alafu kwa kuwa ni tajiri na ana mali za kifahali haitomsumbua akiwa rais kwa sababu ameisha kuwa tajir na pesa ameizoea kashba pesa hana njaa sio mlafi, infact amejitosheleza hatakuwa na tamaa kama maskin jeuri baadh ya vigogo wa sisiem walikuwa na njaa kal mno na n walaf kwa national cake, walipopata chance wakai2mia ndivyo sivyo kwa vimbiwa raslimal za taifa na kujilimbikizia mal za umaa,
 
HUYU JAMAA ANA CHUKI BINAFISI NA NI BAADA YA KUSIKIA CHADEMA WAMEWASHA MOTO KULE SAME, TATIZO HAPA SI MBOWE TATIZO NI SAME KWA MAMA MDOGO,

Hii gari inatumiwa na yule mwana mama wa BAMA ambae wanachi wake wanamuona kama mungu wao AUNG SAN SU KYI
613x459.jpg


suu_kyi.jpg


Mama kama huyu Wille alitaka atembelee mkokoteni ndo wanachi wamwelewe
 
Binafsi naona hii thread ni zao la uwezo hafifu sana wa kupambanua vitu!
Eti kwa kuwa hukuwaona Mao sijui na Che Guavara kwenye V8 basi unataka kuwaaminisha watu kuwa watu wote wanaotaka kuwa wakombozi wa jamii/taifa lazima wasionekane katika magari kama hayo?!!
Hivi umetazama mazingira yaliyowazunguka watu hao katika wakati husika, kwani kama una fikra sahihi sidhani kama ulitegemea kumuona Che Guavara au Savimbi kwenye misitu ya kongo na Angola tena wakati wa vile vita vyao vya ukombozi akiwa ndani ya V8!! Ulitegemea wasaidizi wao waweje ili ujue wanao, maana sitaki kuamini kuwa unatuambia kuwa hawakuwa na wasaidizi kabisa?! kumbuka hawa walikuwa wapiganaji nao huongozwa na sheria walizojiwekea labda ila ni kama za kijeshi!!
Kwangu mimi dhana ya ukombozi unaanzia kwenye dhamira kwanza kisha matendo ya uhalisia kwenye kugusa matatizo ya watu na kuwapatia mosi,ukombozi wa fikra ambao huleta mengine yaliyobaki na sio picha ya nani kapanda nini na kutaka kuwaaminisha watu kuwa ukionekana na ki'vitz basi watu wakuamini pale utakapooanza kupigania ukombozi wa watu!
Tunawaona wengi walioanza katika 'ufukara' wa kinafki wa kujionesha ni 'watu wa watu' na walipopata nafasi wakajilimbikizia ukwasi usiosemekana! Unataka kutuambia nini juu ya hawa!!?
 
mi nnapata shaka sana viongozi hawa wajuu wa chama chetu hiki nna maana chadema... nimejaribu kutizama mienendo yao na namna wanavyoingiza kipato chao cha siku.
ki ukweli pamoja na mahaba tulionayo kwa viongozi wetu ni mawili either wabadilishe namna ya kuishi kitu ambacho kwa mwenyekiti aliyekulia kwenye ubepari hata weza na katibu aliye utohoa ubepari kwa kupitia cathoric naye pia kwake ni ngumu..mtu anapokea mshara sehemu zaidi ya moja...ataijua shida yangu kweli; napata shaka sana
 
mi nnapata shaka sana viongozi hawa wajuu wa chama chetu hiki nna maana chadema... nimejaribu kutizama mienendo yao na namna wanavyoingiza kipato chao cha siku.
ki ukweli pamoja na mahaba tulionayo kwa viongozi wetu ni mawili either wabadilishe namna ya kuishi kitu ambacho kwa mwenyekiti aliyekulia kwenye ubepari hata weza na katibu aliye utohoa ubepari kwa kupitia cathoric naye pia kwake ni ngumu..mtu anapokea mshara sehemu zaidi ya moja...ataijua shida yangu kweli; napata shaka sana
Wewe utakuwa gamba tu.
 
Hapa ndipo mnapoishia baada ya kuambiwa ukweli.
Wewe utakuwa gamba tu.
kwanini wewe usiwe gamba namba 1, au gwamba?

Ni sawa kwa kipofu tangu utoto, aozeshwe mke. Unajua jinsi gani atakavyompenda, atakuwa mzuri kuliko wanawake wote duniani, mwema kuliko wanawake wote duniani, kila jema la mwanamke litakuwa kwa mke wake! Kumbe anaweza kuwa anaingia na hawala ndani, mchafu, mbea, mgomvi kwa wenzake, nk. Kipofu haoni, anashinda nyumbani, akiambiwa haelewi, kumbe anahisi kuoa ni bahati kwake haiwezi kujirudia asiipoteze! Wote ccm hao, wametukera hadi hatutaki kufikiri, tunasema "BORA LIENDE" wakati tukithubutu tunaweza kufanya mabadiliko sahihi sio haya ya kutetea UBINAFSI. Dah! Kweli kupenda upofu!
Mungu wetu anaita!
 
Kaka William kumbuka Mbowe ni tajiri usimtegemee kuishi kama kapuku labda kama unao ushahidi kwamba alizipata mali isivyo halali na halipi kodi kwa nchi kama mafisadi wengine. Hata wewe na familia ya Mzee Malecela si mnaishi maisha ya juu kuliko Matonya wa Chipogoro-Mpwapwa?. Mwaka huu 2012 CCM imeshikwa vibaya isipojipanga 2015 itakula kwao.

Umenifurahisha sana - hapo kwenye red - umemwambia ukweli kabisaaaaaaaaaa - kama ilivyoandikwa kwenye maandiko matakatifu "TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO - NDIPO UTAONA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO"

Yeye amejisahau kabisa anavyoishi - alivyosomeshwa etc. .......asante kwa kumkumbusha.


Nakupa Pepsi baridi - ujiburudishe!!!!
 
Hiyo picha ya Mahatma inafikirisha sana. Ukisoma maisha yake yalivyokuwa ya upendo na kujitoa kwa ajili ya wengine, ninaamini kama huyu angaanzishiwa mchakato na kanisa, angetangazwa mtakatifu akiwatangulia mapapa wengi. Bahati mbaya hakuwa mkristu, na wakubwa wanafikiri nje ya kanisa hakuna wokovu.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.

Labda nikuulize,Mbowe angetaka kukaa kwenye nyumba kama hii pale Dar ataipata wapi?Hata kama ipo si ataitwa mchawi?William,elewa kila jambo lina wakati wake.Kuhusu kuchelewa,tuambie saa aliyotakiwa kuja na yeye alikuja saa ngapi!Manake elewa yule ni mwenyekiti,na siku zote huwa ni mtu mwisho kufika na hii siyo CDM tu ila ni protokali ndivyo inavyotaka.Pole.
 
- Urafiki na Taifa ni vitu viwili tofauti, urafiki ni one thing na Taifa ni another, soma gazeti la leo Mwananchi kuna mtu ana article inauliza Chadema ni nabii kwamba hawakosolewi? Kwamba nina tatizo na Mheshimiwa, hapana ila nina tattizo na itikadi tupo tofauti sana, otherwise we are good friends.

William.
Mimi naona tuendelee kuongea kwa habari picha.



Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akikabidhi kiasi
cha shilingi milioni kumi kwa mama wa marehemu Steven Kanumba ikiwa ni rambirambi ya Serikali kwa
familia.
 
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.
Hivi kumbe ni ya serikali
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.
Kwa hiyo bado tupo zama za mawe,mi nilikuwa sijui kuna aja gani ya kusema utandawazi,basi kila kitu tufanye vya kizamani,pia mwambie na mama aache mkorogo
 
Kumbe Savimbi ni mkombozi!!ciavimbi,mkombozi.Mwl aliwahi kumfukuza waziri mmoja aliyewaambia wazee wa kigogo waliokuwa wanatafuta usafiri kwenda kwao Dodoma "Go to hell"
Hivi unamjuwa waziri huyo? Kama humjui nakuambia wewe "Go to hell"
Je Augustino Neto alikuwa nani?
Debe shinda haliachi kutika.
 
Hiyo picha ya Mahatma inafikirisha sana. Ukisoma maisha yake yalivyokuwa ya upendo na kujitoa kwa ajili ya wengine, ninaamini kama huyu angaanzishiwa mchakato na kanisa, angetangazwa mtakatifu akiwatangulia mapapa wengi. Bahati mbaya hakuwa mkristu, na wakubwa wanafikiri nje ya kanisa hakuna wokovu.
Mkuu, Mahatma kwa watu wake ni mtakatifu. Na hao unaowaita watakatifu kwa watu wa imani zingine hawajulikani kama watakatifu, halafu unaposema kanisa unajua maana yake?
 
Back
Top Bottom