Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,184
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?
- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?
- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William.
William,
Savimbi anaingiaje kwenye list ya viongozi walioongoza kwa mifano? Inasemekana kabla ya kuuwawa kwake nepotism ilikuwa ya hali ya juu sana within UNITA. Na ikapelekea pia kusalitiwa....as we know any divided kingdom will not be able to stand.
Kwa ajiri ya kujifunza pengine ungetupa maelezo zaidi ya kwanini unasema aliongoza kwa mifano?