Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

View attachment 54787

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.

Mkuu ulitaka Savimbi akaishi jumba la kifahari huko Luanda akiwa na mitutu huku watawala wakimuangalia tu! Hayo hapo juu ndio maisha ya wakombozi wote. Ninachokisema ni kwamba hapa hakuna wakombozi ila watu wanaotaka kuwaondoa watawala ili wao watawale. Mtu kuitwa mkombozi si mchezo. Mara nyingi wakombozi huwa si wanasiasa japokuwa wakishakomboa wengine hugeuka na kuwa wanasiasa wa hovyo kabisa!
 
View attachment 54787

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.

Nilikuwa sifahamu Kwamba Willy ni kilaza wa uzito huu. Unajua hayo ma Vx ni old model ambayo hata mtu wa kawaida tu anayo na isitoshe huwezi ukamfananisha Mbabe wa vita Savimbi na Mbowe. Hili jamaa kumbe kubwa jinga hivi.
 
View attachment 54787

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.
nyumba anamoishi Kony umewahi kuiona!?
nadhani cdm na UNITA ni vitu viwili tofauti labda ikibidi huko tuendako vimaweza kufanana, achana na milinganisho isiyoendeana!
 
Uko sahihi mkuu! Nampongeza sana Mnyika Hana Makuu kaka wa watu. Kusema ukweli Kama wanapiga kelele Viongozi wa Serikali wanunue Magari ya chini wao walitakiwa kuwa mfano wa kutumia hayo Magari hata Kama wanatumia kwa fedha zao. Tuone maisha Yao halisi Na wala si kuwatupia mawe wenzao.
 
View attachment 54787 - Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati! William.
Hii reference ni irrelevant, haihitaji degree kujua kuwa savimbi,che na wengine uliowataja hawaendani totally na mbowe or whoever in cdm. Think the big picture bwana mdogo, speak sense you creature.
 
View attachment 54787

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.
Wewe banaa hata kujieleza haujui ndio maana walikupiga chini kwenye Ubunge EAC....kwahiyo unataka nyumba aliyoishi Savimbi ndio Mbowe waishi hivyo hivyo ni sawa sawa uwe na hela mfukoni badala ya kupanda daladala eti unatembea kama kielelezo cha kubana nauli...
 
Cheza na V8 wewe muulize waziti mkuu wako Pinda alibana akaachia.Hiyo kitu kwenye makorongo hapana sikia.Ushawahi panda wewe hutakaa ukakataa ukipewa.
 
point of correction hayo magari ya CHADEMA walinunua wananchi na mengine kwa njia ya misaada sio kwa hela ya chama......alaf kama point ni magari wabunge wa Magamba mbona wanamagari mpaka ya million 800

Mkuu saimon111 hapo ndipo mnapokosea! CDM isijlinganishe ama kujifananisha na CCM. CDM si inataka kuleta mambo tofauti na yanayofanywa na CCM basi ianze kuonyesha hivyo. Kama kweli wanapinga matumizi ya magari manono huko serikalini na kwamba wakiingia watayapiga marufuku basi waanze wao kutumia gari ndogo ili nasi tupate kuwaamini kwamba kweli wakifika huko watageuza mambo. Hivi kama mtu hayupo serikalini lakini anatumia magari makubwa kama ya serikali unategemea akiingia serikalini ndio aache V8 VX achukue RAV4!

Hata kama yalinunuliwa na pesa za michango. Ina maana CDM haina vipaumbele vingine?
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wanajamvi,

Mkuu W J M kauliza swali zuri sana bahati mbaya hapewi majibu ana ambulia kejeli na viroja.Wanajamvi wenzangu tuitendee haki JF kama huna uwezo wa kujibu hoja kaa pembeni magauzi ya kweli yatafanikiwa ikiwa tutakubali kukosolewa na kujisahihisha.

CDM leo ni chama cha upinzani kesho kinaweza kuwa chama tawala mambo yanayotendwa na viongozi wake leo yanatoa mwanga wakipewa dola watatutendea nini !.

Tunapinga kwa nguvu zetu zetu serekali ya CCM iachane na matumizi ya magari ya kifahari bahati mbaya mbadala wa CCM naye anatumia magari ya kifahari ?.
 
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

William,

Ninakuchukia kwa mambo mawili na nitayaeleza hata kama hutokubaliana na mimi. Ninachotaka si wewe kuyakubali, bali kuyasikia tu, itatosha.

a) Unafiki.
Last week ulitetea wabunge (watunga sheria) na mahitaji yao yasiyokuwa kama ya watu wengine. Ukatetea malazi yao, posho na hata kusema wajengewe hostel. Leo unadhani si sahihi kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni na mtunga sheria na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, kuwa VX V8, kuchelewa na kadhalika. Nilidhani hoja yako ni kuwa Tanzania hii hakuna VX V8 wala watu hawachelewi mikutanoni. Mimi na wewe tumeona hata wanaosingizia!!

b) Wivu.
Una wivu sana na hawa viongozi. Punguza!!!
 
mbowe anahela zake sasa asitumie gari alizonazo kisa nini?huoni ni bora kuwa na viongozi matajiri before hawajaingia ikulu kuliko kua na viongozi maskini wakiingia ikulu wanatufanya kama anavyofanya mukulu
 
Hakuna anayechukia mtu yeyote kuwa na gari zuri la thamani, bali kinachogomba ni kutumia fedha za umma kufanya hivyo. Ndo maana hatuhoji magari yako binafsi, wala hatuna sababu ya kuhoji gari binafsi la Mbowe.

Jaman twende mbele turudi nyuma.... Mtu nyumbani atumie gari la kifahari akienda ofisini Na gari la chini, hii si kweli kabisaaaa tunadanganyana tu kwa sababu ni CHADEMA, sometimes tunakuwa hadi vipofu,tunajifanya hatujali. Tumwone baba wa taifa alikuwa wa kawaida kabisa though alikuwa raisi. Tuache unafiki kama unahubiri ujamaa unatakiwa kuishi kijamaa, wao wapende Magari ya ufahari hafu wakidai Serikali isitumie nosense, i unafiki wa Hali ya juu. Kiongozi unatakiwa kuwa mfano bhana kwa kile unachokiamini.
 
Hao walikuwa ni wakombozi waliokuwa wakitaka kuwakomboa wanyonywaji toka kwa wanyonyaji. Walikuwa wakiishi misituni na walikuwa na mitutu ya bunduki wakiwindana na wanyonyaji. Hawa wengine wanataka utawala kuwaondoa watawala waliopo. Wao wana nafasi ya kutembea na kutamalaki hadharani siwezi kuwalinganisha na akina Moises Samora Machel.

Mkuu umeniwahi,ila thanks a lot for a useful comment!Mkuu Willie sometime its better to remain silent,otherwise unaweza kuwafanya wana jamvi washawishike kua uwezo wako wa kujenga hoja hauna tofauti na ndugu J Komba,kitu ambayo si nzuri kwa wewe kijana mwenye malengo ya kisiasa!mfano ulioutoa haupo relevant kabisa
 
William usichanganye mambo, yanayolalamikiwa na wananchi ni matumizi mabaya ya kodi zao kwenye mambo yasiyokuwa na umuhimu wowote kwa maisha na ustawi wa walipa kodi. Hapo hata kama umeona ma-VX V8 ni kwamba hayajanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wa TZ, mafuta na gharama za matengenezo(maintenance) hazitokani na hazina yetu. Umeona jinsi ambavyo wanaaminika kiasi cha kuweza kuwachangisha watu kwenye mikutano yao, jaribuni na nyinyi kuomba michango ya wananchi kama mtapata hata thumni.

Vipi matumizi ya hayo Magari yanatokana Na ruzuku? Au michango yenu mnayotoa? Si Viongozi wa juu wa chama?
 
Hizo V8 zimekaa kama zile za kutoka dubai USED, sio mbaya sana.

Mkuu Maundumula ni kweli inaonekana kama used lakini unaonaje kama wangeingia pale na RAV4 ama gari zingine ndogo na kuwaambia wananchi kwamba sisi tukiingia madarakani tutatumia magari kama haya. Najua huenda wananchi wangepandisha munkari na kuyashambulia Ma V8 ya serikali lakini ujumbe ungekuwa sawia. Sasa wewe unasema unapinga matumizi ya magari ya kifahari ilihali wewe unayo?

Mkuu unaikumbuka ile Suzuki ESCUDO nyeusi ya CDM iliyokuwa pale makao makuu; naona siku hizi imetelekezwa Kimara watu wanatumia ma V8 (GX na VX), ESCUDO ya nini tena!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu saimon111 hapo ndipo mnapokosea! CDM isijlinganishe ama kujifananisha na CCM. CDM si inataka kuleta mambo tofauti na yanayofanywa na CCM basi ianze kuonyesha hivyo. Kama kweli wanapinga matumizi ya magari manono huko serikalini na kwamba wakiingia watayapiga marufuku basi waanze wao kutumia gari ndogo ili nasi tupate kuwaamini kwamba kweli wakifika huko watageuza mambo. Hivi kama mtu hayupo serikalini lakini anatumia magari makubwa kama ya serikali unategemea akiingia serikalini ndio aache V8 VX achukue RAV4!

Hata kama yalinunuliwa na pesa za michango. Ina maana CDM haina vipaumbele vingine?

Tuko pamoja mkuu! Hoja yangu nami imekaa hapo. Shida ya humu ndani CHADEMA haikosei hata kidogo. Tunaipenda mpaka upofu.
 
Last edited by a moderator:

Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Aisee nilikuwa nadhani ni mtu wa kuchambua mambo kumbe kwa ili uliloleta hapa nimegundua hakuna kitu,maana wapigania ukombozi uliowataja niwaenzi zipi?Mfano mzuri nikwaba ata nyerere wakati wanaaza kupigania uhuru walitumia LandRover,Bedfod na magari ya enzi hizo,hadi anaachia madaraka alikuwa anatumia MercidesBenz.
Huyu Mbowe ni kiongozi wa kitaifa kwahiyo kutumia gari kama hilo siyo kosa hata kidogo.kwani hata wanaolalamikia magari ya kifahari hawaongelei ya Ikulu wa ya Waziri Mkuu ila kinachosikitisha hayohayo magari kila kiongozi ndio analotumia Ma DC,RC wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wote wa idara za Serikali hayo ndio magari yao hiyo siyo sawa.
 
Back
Top Bottom