Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
huyu mama mwisho wake ni 2015HUYU JAMAA KATUMWA NA HUYU MHESHIMIWA WA KULE SAME
![]()
huyu mama mwisho wake ni 2015HUYU JAMAA KATUMWA NA HUYU MHESHIMIWA WA KULE SAME
![]()
hahahaha...alafu kweli ulitegemea ubunge?- Well, huwezi kupunguza anything wakati picha zinajisema wazi kwamba mna sura mbili, manendesha magari kama watawala halafu eti mtawakomboa wananchi toka kwa watawala, huo ni uongo wa mchana jipangeni mjiangalie upya ndio maana siku zote mankuwa na maamuzi ya binafsi, Zitto anasema hivi. wengine mnasema vile ni kwa sababu hata baadhi ya wabunge wenu wameshitukia kwamba kuna ujanja unjanja mnaodai kuukataa huko ndani!
- Hilo gari kwenye picha nililipata kwenye ubaharia unless kama kuna ufisadi huko baharini, hayo ma-vx8 yenu mmeyapataje?
William.
View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
Mkuu heshima mbele...Mimi napingana na William kwa hili....anaweza akawa na hoja nzuri na ya msingi lakini yeye kama yeye sidhani kama alipashwa kuona haya wakati chama tawala ndio wachafu zaidi...asafishe chama chake ndipo awe na uhalali wa kuuliza mapato na matumizi cha Chadema. Yeye anaishi kwenye nyumba ya vioo halafu anaanza kutupa mawe si itakuwa balaa hii. Awaambie watawala wake haya ndipo arudi kuichambua Chadema.Jamani Wana GTs, mimi hutofautiana na William sana! Lakini kwa hili Ana hoja, tena hoja inayohitaji majibu na si matusi na blah blah!
Kama kweli chadema Ina Ia kila siku na matumizi mabaya ndani ya serikali, na kwamba, serikali ikipunguza matumizi, specifically kuancha kununua magari ya kifahari, hili sore twalijua...kwa Nini basi isitende inayoyahubiri? Tena ilipaswa kuanzia kwa mwenyekiti... Kumbukeni vyama vya siasa vilivyo na wa Inge hupewa ruzuku na serikali, sore tunajua hela ya serikali ni kodi ya wananchi!
Sasa basi kwa nini chadema nao watumie magari haya ya kifahari? Tujadili kama greait thinkers and not otherwise...matusi hayasaidii, sana sana yanadhalilisha JF. Leteni hoja...

Mkuu heshima mbele...Mimi napingana na William kwa hili....anaweza akawa na hoja nzuri na ya msingi lakini yeye kama yeye sidhani kama alipashwa kuona haya wakati chama tawala ndio wachafu zaidi...asafishe chama chake ndipo awe na uhalali wa kuuliza mapato na matumizi cha Chadema. Yeye anaishi kwenye nyumba ya vioo halafu anaanza kutupa mawe si itakuwa balaa hii. Awaambie watawala wake haya ndipo arudi kuichambua Chadema.
William ni wewe nilikekuwa nakuheshimu au umerogwa ? ulitaka mbowe atembelee baiskeri? kwa nini wewe na baba yako hamtembelei land rover 110 kama mnauchungu na nchi hii,hya ndo ungepeleka EA? Mungu hutazama jana leo kesho na milele ametuonesha mapema kabisa ni jinsi gani hutufai unawezaje kuyafananisha mazingira ya mwaka 47 na ya mwaka 2012?View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
Kama kuna mtu makini ataendelea kuamini kama William Malecela Ubongo wake uko sawa basi naye apimwe akili. ushahidi huu hapa.
- LinkBack
- Topic Tools
- Search Topic
- Rate This Topic
W. J. Malecela![]()
24th May 2012 06:29
#1![]()
JF Senior Expert Member
Array![]()
Join Date : 15th March 2009
Posts : 3,231
Rep Power : 5583
Likes Received1617
Likes Given1601
Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma![]()
jaribu kufikiria wakati wa savimbi na huu wa sasa, mheshimiwa! kama kweli una uchungu na kodi za wananchi toka huko unakotumwatumwa kupost thread zisizoenda na wakati.
View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.