Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,788
Wabs,
Naomba nitofautiane na wewe mkuu,
Sijasoma vitabu ya Gadhi ila nimeangalia simema, kuna vitu vinaitwa priviledge, kila mmoja ana vyake kutokana na chaguo, wakati, mazingira na morals.... wakati ule penetration ya Gandhi ilikua "kuwa mmoja wao" katika namna ambayo india ilikua na ipo hadi leo, cultural.... tunachoona kwenye dress code ni ndivyo ilivyo hadi leo maeneo core kama Kerala (india)
Nyerere, alivaa kombat, au ngwabi au chon lai, alipanda magari ya kifahari sana kuliko wote wakati ule na hata ukiangalia documentaries za akina Che, Fidel, Lincoln na wengine, bado kuna choices za priviledges ambazo hata akina mfalme daudi, Selemani na hata wanazuoni wa kiislam walikua nazo (hapa namuondoa Osama)
Tukija hata kwenye kalcha yetu......... mswaihi marekani anaeza kununua "rim kabla hata ya gari, bongo pia ananunua gari kabla hata hajajua atalala wapi........ ni tamaduni, na tamaduni hizi zina-associate na power, na power ndio sumaku ya followers, kwahiyo hatuwezi kulinganisha yasiyolinganishika kutokana na themes na context ya mambo na wakati
Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD
Lets open our eyes na kuangalia what drove our historic leaders to power, respect and infulence
Ukimuangalia dalai Lama unajifunza mengi sana kuhusu priorities na priviledges to influence powers
TIMING.....Power, respect, influence,dictator, money hungry, selfish.......name it
Is this how you are justifying their act? because is 'historical' neh!!
Haiwezekani kabisa nchi maskini kama hii wanaojiita wakombozi watembelee VX!! no justification...watoto wangapi wanakaa chini, hospitali hakuna dawa, watu wanakosa huduma za kijamii...kisa ni 'historical'..kweli?????
Masihi alikuwa mkombozi because he turned down the culture, alibadilisha kila kitu na kuweka misingi upya naam leo ndio jiwe kuu la pembeni, anaitwa mkombozi because new history , new life style, new ideas, new vision..was originated from him!!! he is true revolutionist from our hearts to our lives!!! mwanamapinduzi yeyote ana badili what existing to what was un imaginable and impossible
chadema was supposed to be miles millions far away from CCM!! wangeingia na style ya pengine kutumia gari za bei rais kila mahali...Kenya tu hapo wabunge wao wanatumia gari za bei cheap sana, nenda asia n.k same story
Kubali kuwa mkipenda sana huwa hamuuliziulizi!! mnabaki kusema tuangalie history
Let remind you we are poor!!! kama viongozi hawa wa CCM au chadema wanataka kuishi kama viongozi wa marekani ni dalili ya u-selfish thats why we keep on saying...chadema hata wakishika nchi leo hii...nothing good may comeout from this gangs
sasa issue ndogo tu ya Posho wanashindwa kuacha....twende kulia kushoto, CCM IMECHOKWA, LAKINI kwa kuichoka huko let our sense and common sense lead us!! chadema washike nchi ila dalili hizi na culture hii ni ile iloe ya CCM, TUSISEME??