Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Nadhani huyu W. J. Malecela anapaswa kutuomba radhi wana JF kwamba hatujui gari za kifahari ni gari zipi? sasa ili kumshushuwa huyu kilaza kwanza naweka Link kwa asiyejuwa haya magari mitumba bei zake na ajuwe kuanzia leo. Huyu Le Mutuz ni Mnafki mkubwa.


[TD="colspan: 2"] 2001 Toyota Land Cruiser 2001 Gold Package V8 leather all the extrasResearch 2001 Toyota Land Cruiser


[/TD]

[TD="class: ipics-cell-0"]
[TABLE="class: tg-tb tg-clp"]
[TR]
[TD]
$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqN,%21osE9d%21CsrWdBPZ8YmIFwQ%7E%7E60_14.JPG

[TD="class: vs_w-a"]
$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_35.JPG
  • Enlarge
[/TD]

[TD="class: vs_w-spr"][/TD]

[TD="width: 16%"]
$%28KGrHqR,%21rYE88g6W7ESBPZ8YrnjGg%7E%7E60_14.JPG
[/TD]
[TD="width: 16%"]
$%28KGrHqR,%21rcE88g9dqpTBPZ8Y0K%21%28%21%7E%7E60_14.JPG
[/TD]
[TD="class: tg-td, width: 16%"][/TD]
[TD="class: tg-td, width: 16%"][/TD]
[/TD]

s.gif


Sell one like this[/TD]
[TD="class: isumv1_5-cell"][TABLE="class: vi-is1"]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: vi-is1-lbl"]Item Location:[/TH]
[TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"]Littleton, Colorado, United States[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: vi-is1-lbl"]Time left:[/TH]
[TD="class: vi-is1-clr, colspan: 3"]6d 10h (Jun 03, 201216:57:28 PDT)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-bdr, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: vi-is1-lblp vi-is1-solidBg"]Price:[/TH]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tbll"]US $16,500.00[/TD]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Buy It NowBuy It Now[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid_bevel, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: vi-is1-lblp vi-is1-solidBg"]Best Offer:[/TH]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tbll"][/TD]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Make OfferMake Offer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-lbl"][/TD]
[TD="class: vi-is1-solid"][/TD]
[TD="class: vi-is1-solid vi-is1-tblb, colspan: 2"]Add to Watch list








[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-solid"][/TD]
[TD="class: vi-is1-solid, colspan: 3"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: vi-is1-bdr, colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="class: vi-is1-lbl"][/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



- Mkuu ahsante sana kwa kuonyesha bei, sasa naomba uonyeshee bei ya gari la Mwenyekiti na bei ya hii pembeni nyumba ya Savimbi, wote si wapigania uhuru wa wananchi, sasa iweje mambo sio sawa mkuu wangu?


William.
 
Kukaa Marekani si kuwa na elimu kwani kule hakuna mambumbumba kama huyu kilaza? Ccm wenyewe walimuona ni kilaza ndiyo maana alipata kura za ndugu zake Anna k na .... anaweza kumalizia sijui angefanikiwa ubunge angeenda kufanya nini kule Mungu atuepushe na wajinga hawa
 
Ngongo mm nimekukubali,cdm kukosolewa si dhambi kiac cha william kupewa kejeli kihvyo!jamii yako ikikuambia mvivu wa kufikiria jipange na ujiongeze!wadau na wafuasi wa cdm si kila jambo la kushabikia,kwa hili la ma v8 siwaungi
 
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.

Msikilize Mbowe akiongea juu mawazo ya kitajiri na umasikini.
Audio namba mbili


Mbowe alipozungumza na CHADEMA Washington, USA - wavuti
 
WILIAM, ushauri wa bure kwako, nenda kwa wazazi wako wakufunde! Kijana unatafutiza vijisababu wewe! Savimbi na Mbowe wapi na wapi? Savimbi aliua na kuua sana, ukombozi wa Mbowe ni juu ya majukwaa! Savimbi msituni na SMG wapi na wapi wewe? Acha kutuchafua, tutakunanga wewe! Mbona kuna mengi ya kuyafanya, hivi lazima uizungumzie Chadema tu? Jichunge sana.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.

Kaka kwa staili ya hoja zako nimeelewa kwa nini hata kwenye bunge la EA ulishindwa!
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Mkuu W J M kauliza swali zuri sana bahati mbaya hapewi majibu ana ambulia kejeli na viroja.Wanajamvi wenzangu tuitendee haki JF kama huna uwezo wa kujibu hoja kaa pembeni magauzi ya kweli yatafanikiwa ikiwa tutakubali kukosolewa na kujisahihisha.

CDM leo ni chama cha upinzani kesho kinaweza kuwa chama tawala mambo yanayotendwa na viongozi wake leo yanatoa mwanga wakipewa dola watatutendea nini !.

Tunapinga kwa nguvu zetu zetu serekali ya CCM iachane na matumizi ya magari ya kifahari bahati mbaya mbadala wa CCM naye anatumia magari ya kifahari ?.

Majibu gani uliyotarajia apewe?? Akili kidogo tu alitakiwa kuitumia ili asiulize swali lake.... Kabla ya kuingia kwenye SIASA alikua anatumia gari gani na baada ya kuingia anatumia gari gani, ingekua siasa ndo imemfanya atumie gari hiyo, SAWA lakini biashara zake zinamuwezesha kutumia gari la hadhi ya juu zaid ya hilo!! Hakuna haja ya kuanza kutafuta vijisababu vidogo vya kitoto kuwa-disqualify baadhi ya wanasiasa wetu ambao ni wafanya biashara wakubwa
 


- Mkuu ahsante sana kwa kuonyesha bei, sasa naomba uonyeshee bei ya gari la Mwenyekiti na bei ya hii pembeni nyumba ya Savimbi, wote si wapigania uhuru wa wananchi, sasa iweje mambo sio sawa mkuu wangu?


William.

Eti William, kwan MBOWE ni mpigania uhuru?? Tuweke wazi

Inawezekana ndo mana unaambulia matusi kwa sababu ya majibu yako mepesi yasiyo na HOJA
 
attachment.php



- Jamani tuwe wakweli hapa nani ni mkombozi wa mwenzake, mwenye hii nyumba au mwenye ile VX8? Leo sitaki maneno mengi sana nipo kipicha zaidi! ha! ha! ha! ha!


William.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Mkuu W J M kauliza swali zuri sana bahati mbaya hapewi majibu ana ambulia kejeli na viroja.Wanajamvi wenzangu tuitendee haki JF kama huna uwezo wa kujibu hoja kaa pembeni magauzi ya kweli yatafanikiwa ikiwa tutakubali kukosolewa na kujisahihisha.

CDM leo ni chama cha upinzani kesho kinaweza kuwa chama tawala mambo yanayotendwa na viongozi wake leo yanatoa mwanga wakipewa dola watatutendea nini !.

Tunapinga kwa nguvu zetu zetu serekali ya CCM iachane na matumizi ya magari ya kifahari bahati mbaya mbadala wa CCM naye anatumia magari ya kifahari ?.

Mkuu ufahari wa Gari unaangalia Size???
Hilo huwezi linganisha na Magari ya Watawala wa CCM.
 
attachment.php



- Jamani tuwe wakweli hapa nani ni mkombozi wa mwenzake, mwenye hii nyumba au mwenye ile VX8? Leo sitaki maneno mengi sana nipo kipicha zaidi! ha! ha! ha! ha!


William.
Mliwadanganya Wananchi na sasa wameshtuka unaanza kutokwa na Mapovu, kama una wasiwasi wa Baba yako kufutiwa mafao ya Waziri Mkuu Mstaafu wacha kuweweseka. Yako wapi Maisha bora aliyoahidi JK?

72207_1630755205240_1127403497_31793227_2798227_n.jpg 11_09_hmaerh.jpg
 
dah! kwa hiyo unashauri viongozi wa vyama vya upinzani watembee kw miguu
(maana wengi wa wananchi hawana magari binafsi) na maVX waachiwe watawala!

ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.


You seriously need prayers...very dissapointing, unthinkable comments coming from a person of your calibre is a disgrace! you actually did not make it to the EALA by mistake, you deserved to miss the opportunity! so saddening....
 
St. Ivuga, big up mazee. Hapa umemsaidia WM kupunguza mdomo.

- Well, huwezi kupunguza anything wakati picha zinajisema wazi kwamba mna sura mbili, manendesha magari kama watawala halafu eti mtawakomboa wananchi toka kwa watawala, huo ni uongo wa mchana jipangeni mjiangalie upya ndio maana siku zote mankuwa na maamuzi ya binafsi, Zitto anasema hivi. wengine mnasema vile ni kwa sababu hata baadhi ya wabunge wenu wameshitukia kwamba kuna ujanja unjanja mnaodai kuukataa huko ndani!

- Hilo gari kwenye picha nililipata kwenye ubaharia unless kama kuna ufisadi huko baharini, hayo ma-vx8 yenu mmeyapataje?


William.
 
Mkuu hebu tuletee na gari la mather, vipi anatumia bito?

Mkuu Mtu kama Mengi ni Mfanya biashara Tajiri sana na ni mtu anayesaidia sana jamii ya Watanzania, Hivi mengi akijitosa kuwania Uraisi unataka asitumie magari yake ya kawaida?

Yule Bilionear wa Urusi anaye miliki Chesi ana utajri wa kufa mtu na anatembelea magari na helkopta za bei mbaya lakini ni mwana siasa na kule kwao Urusi ni kipenzi sana cha warusi, kwani hawaoni huo utajiri wake?

MNATAKA KUHAMISHA MADA HAPA, TATIZO SI MAGARI YA KIFAHARI, TATIZO NI PALE SERIKALI INAPO TEMBELEA MA V8 HUKU WAKINA MAMA WAKIPEWA PIKIPIKI

WANACHO PIGIA KELE WANACHI NI HIKI HAPA
toyota-land-cruiser-v8-04.jpg


HALAFU WANANCHI WALIPA KODI WANA PEWA HAYA MAGARI
ethiopia%20roads.jpg


HII MKUU HAILUBALIKI KABISA, HAIWEZEKANI PESA YA KUNUNUA V8 ZIWEPO LAKINI ZA KUNUA AMBULANCE NZURI ZISIWEPO
 
Back
Top Bottom