William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Malechela ana hoja ya msingi ila swali
Kama anachukizwa na tabia za watawala za kupenda anasa mbona bado yuko CCM ambako ndiko chimbuko la anasa na mishahara minono kwa wanasiasa
Mbowe ana fedha safi tena zake lakini viongozi wanatumia kodi zetu.
NI MNAFIKI ANAPONDA WANASIASA WAKATI NAYEYE NI MWANASIASA
Je alitaka mbowe awasaidiaje masikini wote wa Tz.
Je yeye binafsi toka aanze siasa amefanya nini kuwasaidia masikini. Sio kuwaangalia wenzake wanaojitoa muhanga. Kwa picha alizotuonesha anataka tuamini anawahurumia sana.