Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutua Houston Tx USA

M4C naona Mtwara wamedondokea pua wanajaribu kulamba chenji za dola Texas. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Chadema kwa nini mnajikita nje ya nchi kuliko Tanzania sasa mnakwenda kufungua tawi Marekani siku ya sensa Tanzania huu kweli ni uzalendo.
 
Chadema kwa nini mnajikita nje ya nchi kuliko Tanzania sasa mnakwenda kufungua tawi Marekani siku ya sensa Tanzania huu kweli ni uzalendo.

Mkuu APo ni ufunguzi wa tawi pamoja na fundraise ya m4c sasa watu wanaenda kuzichanga kwa watz wenzao sio Kama baba yenu anazungusha bakuli kwa wazungu....speaking of sensa Sijui kinakushangaza nini mbona mwenyekiti wako wakati meli inazama watu wanaopolewa na kuzikwa yeye alikuwa angani itajakuwa sensa Kama msiba kiranja Mkuu alikuwa anakula bata angani?
 
Chadema kwa nini mnajikita nje ya nchi kuliko Tanzania sasa mnakwenda kufungua tawi Marekani siku ya sensa Tanzania huu kweli ni uzalendo.

Inawanyima usingizieeee? Sasa wasingeenda wewe unge comment nini apa Leo? Siku yako ingeingiaje? Nape angekulipaje bila kazi? Shukuru wanaenda ata umepata ubize.....anza kazi wanao waende choooo
 
Ila kwakusema ukweli mimi sioni tija yoyote ya kuwa na matawi ya chama chochote kile cha siasa Ughaibuni, upuuzi huu wangeachiwa CCM waendelee nao maana ndio Waasisi.

Ritz hata mimi Matola kama nitakuwa nje ya nchi siku hiyo nitahesabiwa bila hata kuwepo maana mimi ndio Mkuu wa kaya yangu, labda tu useme kama hujui sensa huwa wanafanyaje kazi zao na hii ndio itakuwa sensa yako ya kwanza. Tuachane na hoja dhaifu, siku hizi wewe hapa Jf unaheshimiwa kwa sababu umebadilika na michango yako inasimama kwenye kweli.
 
Last edited by a moderator:
Chadema kwa nini mnajikita nje ya nchi kuliko Tanzania sasa mnakwenda kufungua tawi Marekani siku ya sensa Tanzania huu kweli ni uzalendo.

Mkuu unachangia huku roho inauma. Matawi yatafunguliwa hata mwezini ikibidi. Popote palipo na watanzania tutafungua matawi. Ishu ya sensa ni ulaji tu na inashangaza serikali ya wadhaifu kunga shule kisa sensa. Huku ni kuua elimu
 
Kwani asipohesabiwa sugu na mbowe kimepungua nini, acheni Chadema wajitanue! ninyi si mmegeuza ofisi za balozi kuwa ndio matawi yenu!
 
Mh Mbowe asome alama za nyakati washauri wake Lema na Sugu watamfikisha pabaya, kuwafikia watz wengi hususan maeneo ya vijijini bado ni changamoto kwa CDM na uchaguzi ukifika zinaanza kelele za kuchakachuliwa.Sioni faida ya matawi ya Europe na America ni matumizi mabaya ya pesa za ruzuku.
 
Kama ni kweli hili umelisema kutoka moyoni mwako basi CCM ndio vinara wa mtumizi mabaya ya hizo ruzuku, ngoja nikifika nyumbani nikiwa na laptop yangu nitakumwagia hapa orodha ya matawi ya CCM Ughaibuni. Nitafurahi kama utamwambia Kinana asiende Marekani kuzinduwa tawi la CCM Matapeli DMV
 
Acheni ushabiki na mawazo ya kijinga.sensa haizuii shughuli zozote za kiuchumi,kisiasa wala za kibinadamu.katika dodoso kuna nafasi ya kujaza wanakaya walio nje ya nchi.
 
Chadema kwa nini mnajikita nje ya nchi kuliko Tanzania sasa mnakwenda kufungua tawi Marekani siku ya sensa Tanzania huu kweli ni uzalendo.

Hivi A Kinana ni nani Vile kama niliona atakuwepo DC tarehe 25 august au yeye sio Mtanzania??? Uzalendo maana yake nini ?? Inawezekana imebadilisha maana.
 
Safari njema kamanda mkuu, sauti ya zee, mzee wa anga...We are supporting you, M4C mpaka kieleweke!
Ngoja na mimi nisafiri kwenda kuomba msaada wa vyandarua vinavyofaa kwa uvuvi (yaani multipurpose) kule Washington. Sijui nitafanikiwa kurudi kabla ya sensa?
 
Back
Top Bottom