Another mistake! Hiyo tarehe ni siku ya sensa, ina maana yeye hatahesabiwa? Kwa mtu mzito kama yeye alitakiwa kuwa mfano tena awe wa kwanza kuhesabiwa katika eneo analoishi/atakaloamkia.
CHADEMA wanatakiwa kujiepusha na kila hila inayoweza kutumiwa na magamba. Magamba ni lazima wataitumia hii kama turufu ya kisiasa na kwa uelewa wa watu wetu lazima wata-win baadhi...
Kama watu hawaruhusiwi kusafiri, serikali isimamishe safari zote za kwenda nje ya nchi.