Mwenyekiti wa BAVICHA atoa onyo kali kwa viongozi wa serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Igunga

huyu mwenyekiti anatakiwa awe makini na maneno yake,kwanza kitendo walichomfanyia mkuu wa wilaya ni udhalilishaji,pili hawana adabu vijana walioenda kumtoa maana nilikuwepo eneo la tukio na hawakumtendea haki kumsikiliza kwani alikuwa akijitetea .tatu mtuwekee ushahidi halisi kuwa alikuwa anapanga kuwaingilia uchaguzi wenu?
Tukuwekee ushaidi ukiwa kama nani mijitu mingine sijui inaongelea midomo ipi.
 
Bora vita kuliko Amani isiyotunifaisha, amani, amani, wakati ccm wakituibia rasilimali zetu kwa wimbo wa amani. Hatuitaki amani isoyokuwa na maendeleo
 
Anashusha mkwara utafikiri igp mwema......kweli huyu ni kamanda wa ukweeeli
CCM bila hivyo watakushika machoni wasichukulie utani nilivyomwangalia body language yake alikuwa anamaanisha kile alichosema wasirogwe kupindisha matokeo kama walivyofanya Shinyanga nafikiri safari hii CDM hawatakubali kuinamisha vichwa chini kama walivyofanya uchaguzi mkuu uliopita.
 
Akiongea na waandishi wa habari jana Heche ametoa tahadhari kwa polisi na wakuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Igunga kuwa wasiwe chanzo cha kusababisha fujo nchini waviache vyama vya siasa vishindane kwa haki lakini wakiingilia kugeuza matokeo safari hii vijana wa Chadema hawatakubali. Ameongeza kama polisi hawatenda haki na kuendelea kutotoa ushirikiano watawashughulikia waharifu wakiwemo viongozi kama walivyomshughulikia mkuu wa wilaya jana.

Msikilize mwenyewe hapa anaonekana kama Julius Malema wa Tanzania

http://www.youtube.com/v/OpUr0i0N3gU?version=3"><param

Zero kabisa mdomo wake umeponza kichwa chake na namna anavyofikiri...nafikir mafundisho ya padre aliyeasi yanawaharibu sana vijana huko cdm
 
CCM bila hivyo watakushika machoni wasichukulie utani nilivyomwangalia body language yake alikuwa anamaanisha kile alichosema wasirogwe kupindisha matokeo kama walivyofanya Shinyanga nafikiri safari hii CDM hawatakubali kuinamisha vichwa chini kama walivyofanya uchaguzi mkuu uliopita.

Mtaishia aibu na fedheha..ccm kwa rafu na ubabe hamtaiweza jifunzeni kwa CUF after all Watanzania hawataki fujo zetu kama vile mmeshakula bange..
 
Akiongea na waandishi wa habari jana Heche ametoa tahadhari kwa polisi na wakuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Igunga kuwa wasiwe chanzo cha kusababisha fujo nchini waviache vyama vya siasa vishindane kwa haki lakini wakiingilia kugeuza matokeo safari hii vijana wa Chadema hawatakubali. Ameongeza kama polisi hawatenda haki na kuendelea kutotoa ushirikiano watawashughulikia waharifu wakiwemo viongozi kama walivyomshughulikia mkuu wa wilaya jana.

Msikilize mwenyewe hapa anaonekana kama Julius Malema wa Tanzania

http://www.youtube.com/v/OpUr0i0N3gU?version=3"><param
Haki ya nani walah! hili ndio tamko ambalo limetoka loud and clear. Hii ndio njia sahihi ya kupambana na ushenzi wowote wa CCM na serikali yake.
Heche kasema vijana wa CHADEMA watakuwa wapole sana pale tuu taratibu zitakapofuatwa ila hawatakubali kuonewa hata kidogo. Watamshughulikia kiongozi yeyote atakayecheza rafu kama anavyoshughulikiwa mhalifu yeyote(kama kibaka vile).
Kuna watu wamesema humu kuwa CDM inaleta fujo,sasa kwa kauli hii fujo iko wapi kama wamesema watakuwa wapole taratibu zikifuatwa? hivi mvunja taratibu si lazima ashughulikiwe? hewala hewala! sasa basi.
Mheshimiwa Heche naunga mkono hoja, Huyo DC kama atarudia tena basi huyo ni mhalifu sugu charaza Hamsa wa Ishirini akamwonyeshe Mwiguli uvimbe kunako masaburi. Ingawa najua Mwigulu atamliwaza kiaina.
 
Angekuwa si mwanamke msingethubutu nyamafu nyie..
 
Haki haiombwi bali inatafutwa .Igunga haki ikitendeka hatuna matatizo nao ila ccm wakijifanya kuipindisha kwa namna yeyote ile basi wajue mwaka huu ndio lalasalama yao . Kuzulumiwa tumechoka .VIJANA tunatoa tahadhari kwa ccm mkifanya kaso yaliyotokea Misri,Tunisia na Libia hayataepukika na ndio utakua mwisho wa ccm tumechoka na tuko tayari kwa lolote .MUNGU ibariki AFRIKA na MUNGU ibariki TANZANIA
 
Mie nilisha sema kwamba vurugu zozote na kusababisha uvunjifu wa amani chanzo kitakuwa polisi na CCM yao .Why CCM kuilia na jimbo moja wakati wana majimbo mengi tu na wako wengi Bungeni ?
 
Haki ya nani walah! hili ndio tamko ambalo limetoka loud and clear. Hii ndio njia sahihi ya kupambana na ushenzi wowote wa CCM na serikali yake.
Heche kasema vijana wa CHADEMA watakuwa wapole sana pale tuu taratibu zitakapofuatwa ila hawatakubali kuonewa hata kidogo. Watamshughulikia kiongozi yeyote atakayecheza rafu kama anavyoshughulikiwa mhalifu yeyote(kama kibaka vile).
Kuna watu wamesema humu kuwa CDM inaleta fujo,sasa kwa kauli hii fujo iko wapi kama wamesema watakuwa wapole taratibu zikifuatwa? hivi mvunja taratibu si lazima ashughulikiwe? hewala hewala! sasa basi.
Mheshimiwa Heche naunga mkono hoja, Huyo DC kama atarudia tena basi huyo ni mhalifu sugu charaza Hamsa wa Ishirini akamwonyeshe Mwiguli uvimbe kunako masaburi. Ingawa najua Mwigulu atamliwaza kiaina.
Nimesema hapo juu kuwa huu ujasiri unatoka wapi? Lakini CCM na polisi wajue usugu wa vijana wanautengeneza wao wenyewe watu si wajinga siku zote kudhulumiwa huwa inafikia wakati uoga unapotea, wewe fikiria kile kitendo cha kumkamata DC na kumtoa kwenye kikao miaka miwili iliyopita kisingewezekana, haya anayosema Heche kuwa hawatakubali wasifikiri anatania hata ukimwangalia usoni yanatoka moyoni kwa mtu aliyechoka na mtu aliyechoka huwa haoni ajali mbele yake.
 
Akiongea na waandishi wa habari jana Heche ametoa tahadhari kwa polisi na wakuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya Igunga kuwa wasiwe chanzo cha kusababisha fujo nchini waviache vyama vya siasa vishindane kwa haki lakini wakiingilia kugeuza matokeo safari hii vijana wa Chadema hawatakubali. Ameongeza kama polisi hawatenda haki na kuendelea kutotoa ushirikiano watawashughulikia waharifu wakiwemo viongozi kama walivyomshughulikia mkuu wa wilaya jana.

Msikilize mwenyewe hapa anaonekana kama Julius Malema wa Tanzania

Anachozungumza Heche ni cha msingi sana. Hakuna maana yoyote kuhangaika kufanya kampeni na baadae wananchi wakupigie kura halafu magamba wakishirikiana na viongozi wa serikali wanashirikiana kuchakachua matokeo na chadema wakae kimya kwa kibwagizo cha amani.

Polisi ndio wawe wa kwanza kulinda sheria na kanuni za uchaguzi na si kuvuruga ili kuwabeba magamba. Amani ni tunda la haki,kama hakuna haki amani inatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom