Mkwala mbuzi tu huo... Hata body language yake inaonesha haamini anachokiongea!
The following user Groaned Alwatan for this useless PostMkwala mbuzi tu huo... Hata body language yake inaonesha haamini anachokiongea!
Mambo ya kukaa kwa kaka yake hayana uhusiano wowote na statement yake nyie ibeni hizo kura safari hii kama mlivyozoea muone kama ni mkwala mbuzi.Sasa wewe Heche, shule yenyewe hamna wewe kila kitu kufoka nashangaa hata huo uongozi wa Bavicha ulipataje.
Wewe huna unachokijua zaidi ya kufoka foka hovyo jazba kila wakati na kuvaa Magwanda kila siku.
Unapiga mkwala wakati bado unakaa kwa kaka yako pale Sinza Mori
Hivi wewe kama ni mtu na akili zake kweli unaamini huyo mpuuzi anauwezo wa kufanya chochote zaidi ya kupiga domo?Mambo ya kukaa kwa kaka yake hayana uhusiano wowote na statement yake nyie ibeni hizo kura safari hii kama mlivyozoea muone kama ni mkwala mbuzi.
Hata Gaddafi aliwaambia wale wahuni wa Benghazi kuwa atawasagasaga kama panya leo haamini, inawezekana na wewe huamini vile vile.Hivi wewe kama ni mtu na akili zake kweli unaamini huyo mpuuzi anauwezo wa kufanya chochote zaidi ya kupiga domo?
<br />Hiki ni chama cha kutangaza vita? hata vitabu vya dini vinasema watiini walioko kwenye mamalaka!
kabla ya kushabikia saaana.....just imejini ndo angekuwa mama yako mzazi kadhalilishwa vile ungejisikiaje (no matter ni mchawi malaya n.k na unajua)? chukulia kwamba ndo unarudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani unakuta ur mom anafanyiwa kile alichofanyiwa dc ungechukua hatua gani? hapa ndipo ninapoanza kuamini taasisi kama TGNP ni vyama vya kisiasa zaidi kuliko vile wanavyojipambanua.....coz kama ingefanywa na ccm lazima wangelaani sana.akina mama wa Tanzania mnatakiwa kulaani vikali udhalilishaji huu coz mkinyamaza kesho hawa wahuni wataanzisha vita na watawabaka na kuwadhalilisha kwa kadri wawezavyo! nina ombi kwa viongozi wa cdm, pls tupo wengi ambao tunatamani kuona mnakamata dola lakini kwa matukio kama haya yanatufanya tuhoji uwezo wenu wa kusimamia sheria pa1 na haki za kibinadamu. is this the way u r going to treat wavunjaji wa sheria? pls jitengeni na uovu huu..........
<br />kabla ya kushabikia saaana.....just imejini ndo angekuwa mama yako mzazi kadhalilishwa vile ungejisikiaje (no matter ni mchawi malaya n.k na unajua)? chukulia kwamba ndo unarudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko yako unafika nyumbani unakuta ur mom anafanyiwa kile alichofanyiwa dc ungechukua hatua gani? hapa ndipo ninapoanza kuamini taasisi kama TGNP ni vyama vya kisiasa zaidi kuliko vile wanavyojipambanua.....coz kama ingefanywa na ccm lazima wangelaani sana.akina mama wa Tanzania mnatakiwa kulaani vikali udhalilishaji huu coz mkinyamaza kesho hawa wahuni wataanzisha vita na watawabaka na kuwadhalilisha kwa kadri wawezavyo! nina ombi kwa viongozi wa cdm, pls tupo wengi ambao tunatamani kuona mnakamata dola lakini kwa matukio kama haya yanatufanya tuhoji uwezo wenu wa kusimamia sheria pa1 na haki za kibinadamu. is this the way u r going to treat wavunjaji wa sheria? pls jitengeni na uovu huu..........