Mwenyekiti UVCCM na mauaji ya Morogoro

Kwene bible kuna mstari unasema kuwa Rushwa hupofusha.......nadhani hawa mafisadi wameshapofuka
 
Hawa Jamaa wanazidi kupotea kama wameanza hadi kuhongana vitumbua na Buku 2 ni wazi hawa viongozi wanatumia ubongo wa makalio
 
Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu

Kijana wapi bwana? hawa hawaoni aibu kuchakachua hata umri! CCM mtu miaka 50 huwa anaitwa kijana na wakati huo huo anagombea wazazi!!!! ukistaajabu ya Farao utaona ya Musa!
 
nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "chadema wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?

Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? Wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?

Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?

Chamzo;channe ten tv saa moja na nusu
omg!!! Shigela,nape,lusinde.what a disastor!!
 
Kaamua kumsaidia Nape uenezi na propaganda.

Sijaona unafuu wa msaada wake!
 
Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?

Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?

Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.Kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?

CHAMZO;CHANNE TEN TV SAA MOJA NA NUSU

.
Ndivyo walivyopanga kwenye kambi zao za mauaji wanazofundishana ugaidi? Mizaha kama hii inawezekana tu TZ penye mkuu wa nchi dhaifu na Syria penye kiongozi wa nchi aliyesepetuka, ambapo kimsingi huyu wetu ndio yupo hatua za mwanzo kuendea huko
.
 
Polisi gani anaowaongelea SHE-GIRL? Wale wale waliowachukua wafanyabiashara wa madini wakawapeleka mabwepande na kuwaua kisha wakawaita majambazi?

Polisi hawa hawa tunaowasikia kila siku wakiua raia na baadae zikaundwa tume za kuwasafisha?

Too bad, shameful creatures CCM. Huyu she-girl ni aina mpya ya Nape. Ubongo unaongea huku mdomo unafikiri.

Ana-conclude kuwa ni CDM as if polisi wa CCM wana rekodi nzuri linapokuja suala la haki za binadamu. Kwa mwenye akili atajiuliza, kama maandamano yalizuiwa ili kusitokee jambo baya, mbona namna yenyewe ya uzuiaji imekuwa mbaya kuliko jambo baya lililotazamiwa?

Ama hakika hii ndio CCM, sawa na daktari anayemtibu mgonjwa maumivu kwa kumuua na kujisifia kuwa sasa 'mwili wa fulani' hauna maumivu tena.
 
Kiongozi mzima halafu anayedanganya kuwa kijana anadiriki kuita mkutano wa waandishi wa habari kuwaambia ujinga kama huo, very stupid!!
 
Let them speak whatever they like to speak, but the Tanzanians will make decision through the ballot box!
 
Tuache ushabiki wa kisiasa. Hii ni damu iliyomwagika, Hata mtoto mdogo hawezi kudanganywa na wala haihitaji tume kuchunguza nani kaua. Cha msingi tuombe radhi kwa waliopatwa na madhara hayo, tuahidi hili kutokutokea tena. Uzembe wa namna hii haukubaliki, hata kama chama changu ndicho kimehusika, hapo siungi mkono. Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.
 
"Haiwezekani polisi wampige risasi raia ambaye hana alama yoyote ya chadema"!Hii kauli inathibitisha kuwa kuna mkakati wa makusudi wa kuwaua wanachadema unaoratibiwa na polisi na CCM.

Huyu jamaa angeona sawa kama polisi wangemuua mtu mwenye sare au alama yoyote ya chadema kwa kutumia risasi za moto!
Na hawa ndio thinktank wa chama called themselves youths!Kama kuna kauli moja ya kimbumbumbu imetolewa leo duniani basi ni hii.
 
Back
Top Bottom