Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?
Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?
Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.Kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?
CHAMZO;CHANNE TEN TV SAA MOJA NA NUSU
Problem ni kwamba hawajachukua option nzuri.Kwani uwepo wa polisi mkubwa vile haiwezekani katik eneo lolote pembeni ya njia katika tukio polisi walikuwa tayari kwa lolote(Yaani katik mazingira ambayo kuliko CDM wadhuru mtu wote wangeuwawa) zipigwe risasi na siye na polisi na polisi wasifahamu hadi CCM waje kuwaambia.
Tayari CCM wanajiweka pabaya ,
kwani wao ndio pekee wanaoweza ingiza watu bila polisi wafanya kitu na wa kufanya hivyo, na tayari "Majibizano na dr. Slaa yalikuwa ni kuhusu CCm kuandaaa kundi la vijana na wameingiza silaha.".So option wanayotumia si nzuri sana kwa CCM, ni kama kujikata mkia.
SASA WASEME MAUAJI NI CDM WATHIBITISHE KUWA SLAA HAKUKOSEA.AMA WAWAUZE POLISI.NADHANI HAPA HAWAKUPASWA ONGEA KWA KUNYOOSHA MIKONO,ILA WANGEACHA POLISI WASEME.CCM WAMEPOTEZA TENA POINT KIRAHISI.
Kuna shida katik CCM katik kupanga na kutoa taarifa kwa umma.Mara nyingine nawahurumia, mara nyingine napata hofu kwa vile wao ndio wameshika nchi na mipaka yetu inayoanza kumegwa inahitaji uimara sana.Sasa kwa jinis wanavyofanya wanashindwa nishawishi kama kweli wataweza pambana na adui wa nje.
CCM WANAZIDI NIIMARISHA KATIK IMANI YANGU KUWA NI "NOVICE".IMEJAA MAKINDA WENYE KILA RESOURCE YA KUWEZA WAPATIA EDGE OVER OTHER PARTS.ILA KAM LAANA WANAPOTEZA GAME ,DKK ZA MWISHO.ILA WANASAHAU KUWA RESOURCES ZINADIMINISH WITH TIME.nA SIKU ZAJA WATAJIKUTA HAKUNA TENA MUDA WA KUTUMIA AKILI WALA NINI KWANI MAMABO YANASHIFT TOO FAST AGAINST WAO.WATAJIKUTA WAKUA HOVYO KWA PANIC,WATAJIKUTA WENGINE WAMEJIINGIZA KATIKA MAHAKAMA ZA KIMBARI KIPUUZI SANA.IAM SURE WANAHITAJI VIJANA MAKINI, SI HAWA WATOTO WA VIGOGO AMBAO KWANGU HAWANA TOFAUTI SANA NA WALE MABINTI AMBAO HUWA WAZAZI WAO HUWAAMBIA KUWA NI WAREMBO KM KUWAPA MOYO,HALAFU WAKADHANI KUWA HIYO INATOSHA WAFANYA WAREMBO NA HIVYO KULAZIMISHA KUWA MAMISS.HAWA WATOTO WA VOGOGO KATIK FAMILIA ZAO PENGINE WALIMABIWA KUWA WANAFANANA NA WANASIASA,WAKAIFANYA KUWA NDIO NYOTA YAO, NA KWA KUSIKIA KUWA LAZIMA NDOGO ZAO ZITIMIE BASI WAZAZI WAKAWASAIDIA KUFIKIA HIZO NDOTO.SASA NDIO HAWA WALIOPITIA HATA ILANI YA CCM KWA HARAKA SANA KAM SI KUSIKIA VIPENGELE KATIK MIJALA YA CCM BILA KUISOMA NA KUILEWA.BILIA KUIFAHAMU NI WAPI HAITEKELEZEKI KWA UFANISI AU KABISA.HAWAKUJIFUNZA SIASA KTK UZOEFU TANGU UTOTO.WAO WALIKUWA WAKIANGALIA MOVIE ZA AKINA RAMBO,ARNOLD, VAN DAME, AND SUCH NA KUHADITHIANA.
KWA UJUMLA GENRATION ILIYOPO CCM LEO,NI KAMA SIMBA ALIYELELEWA KATIK CAGE HALAFU KAACHIWA PORINI KAWEKEWA NA WANYAMA KIBAO, ILA HUWA HAWEZI WINDA,HAJUI VIZIA, AMEZOEA NYANG`ANYANG`A MIZOGA WALETEWAYO N ABINADAMU KATIK CAGE.HAWA WANYAMA HUFA NJAA KWA VILE KILA WAMFUTAVYO MNYAMA HUWA WANAKWENDA KWA STAILI YA KUNFUKUZA NA SI KUMSGIKA.MWISHOWE KUJARIBU PORA MAWINDO YA WENZIE AU HATA KUWAUA.NAYO HUMSHINDA KWA VILE WENZIE WANAJUA ZAIDI YA KUWINDA WANAJUA KUPAMBANA.MWISHOWE HUJIKUTA WAKIFA KAMA SI KUSHINDIA MAKOMBO.VIJANA WA CCM KWA MAJINA YAO MAKUBWA BADO HAWAJUI MAMABO YA MSINGI KABISA MABYAO HAYAFUNDISHWI SHULENI,WALA KATIKA VITABU AMBAVYO PIA HAWAN AMUDA WA KUSOMA KWA UMAKINI HUKU AKILI IKIZUNGUKA KATIKA YALIYOPO KICHWANI TAYARI NA KULINGANISHA,TU SI THEM YA KITABU,ILA HIDEN MESSAGES, AND DISTORTIONS.
HAWA VIJANA WASIOFIKIA VIWANGO VYA KUINGIA KTIK FAIR SURVIVAL PATHS+WAZEE WA CCM WALIOJAA TAMAA NA HILA KATIK YAO KIASI CHA KUMALIZA BUSARA ZAO KAMA WAZEE NA VIJANA IMARA WA JANA.WMAICHA CCM IKIINGIA MAWINDONI KAMA "NOVICE".HAWASHIKI TENA VITOWEO, SASA WAMEINGIA KATIK HATARAI YA KUPORA SIMBA WENGINE(VYAMA PINZANI), MBAYA ZAIDI VYAMA PINZANI KUNA VYENYE MBINU NYINGI KATIKA ZOEZI LA UWINDAJI.HAWA WALIJIFUNZA KUPITIA EXPERIENCE.NA MAWINDO YAO HUFANIKIWA NA MAPAMBANO YAO DHIDI YA MAADUI HUSHINDA NA KUWAPONYA.