Mwenyekiti UVCCM na mauaji ya Morogoro

Uzuri ni kwamba wakati CCM wakitapatapa wananchi wanujua ukweli na wanazidi kupelekewa ukweli na kufunguliwa kwenye utumwa wa CCM na kuwekwa huru kupitia M4C. Uhuruhuu ndio utakaoleta ukweli na ukweli utazidi kuwafanya wawe huru na mwisho wa siku ukweli utatengana na uongo
 
hivi kina Shigella hawa wataenda wapi mjinga akierevuka? kumbuka siku hiyo i karibu sana, wewe Shigella kwa sababu unaongea pumba. kumbuka hata hao Chadema unaowatuhumu nao ni Watanzania ni tofauti tu ya kisiasa....................
 
Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu

Naona wanatest zile silaha walizoingiza bila kuzisajili! Na hiyo tume haitakuja na jipya zaidi ya maelezo waliyopewa kuwa risasi iliyotumika haikuwa ya polisi.
Hizi sarakasi za CCM hizi.
 
Sasa Nchimbi anaunda tume ya nini kama huyo Shigela anawajua hao watu waliofanya mauwaji? Polisi kakaeni na Shigela awaambie na kumbe mnatakiwa kupiga risasi mtu aliyevaa gwanda, skafu, kofia ya C D M siyo msoma magazeti.

CCM mnatoaga wapi uchafu kama huu Shigela
 
Alikuwa JICA, kisha akawa Mkuu wa Wilaya ya Lindi na sasa ni Katibu wa UVCCM. Unategemea nini hapo!
 
Sidhani kama anapaswa kulaumiwa, maana kwa sasa ili uwe mwanachama au kiongozi wa nyinyiemu unapaswa kufikiri na kunena bila kutumia akili kumkichwa
 
Sijui CCM waliangalia nini wakati wanampa kazi huyo Shigella! Huwa anazuka kwa kazi moja tu - kulaani. Hana jipya, haingei kuhusu umaskini wa watanzania, ajira etc yeye ni kulaani! Mungu is Athumani.

SHIGELLA NI AINA YA BACTERIA sasa tusitegeme mtu huyu kua na upeo na fikra nzuri...HUYU NI JANGA
 
Sijui CCM waliangalia nini wakati wanampa kazi huyo Shigella! Huwa anazuka kwa kazi moja tu - kulaani. Hana jipya, haingei kuhusu umaskini wa watanzania, ajira etc yeye ni kulaani! Mungu is Athumani.
Mungu is Athumani au si Athumani, unajua unaweza ukakosea na bado ikaleta maana?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Shigella kwa lugha ya kwetu ni mshipa wa ngili na kwa lugha ya majirani zetu ni Limbwata kwa hiyo endeleeni kushangaa nyie,mi nilitegemea hayo aliyosema
 
Kwani CHADEMA walikuwa na SMG na Mabomu?
Kwa kauli yake ni wazi kuwa CCM iliwatuma Polisi wawaue wana CHADEMA.. Anaowaongoza nao wamekaa nyuma ya mtu huyu wame Relax??? Kweli CCM ina viumbe wa ajabu!.

Mbona mimi naona kam ville CCM ndio loosers hapa tena..Kauli ya Nape na Slaa zinashuhudia kuwa CCM walihusika zaidi hat ya polisi.Huyu dogo anapigilia msumari.
Yaani dr alisema CCM wameingiza silaha na kuandaa vijana wa kufanya fujo against CDM, Nape akajazia kuwa Chadema walipanga kujifanyia fujo(Hii inatoa clue kuwa walikuwa wanataka fanya shambulizi la kuichafua CDM) ila hakujitetea vizuri kuhusu hiyo habari.Huyu kiongozi wa Vijana na Mchimbi wakakimbilia sema kuwa hayo mashambulizi yamefanywa na CDM.(story inajiunganisha).Ila kama nilivyosema hapo juu hawa jamaa ni too "novice".Yaani CDM wafanya mashambulizi nyuma walipotoka?Kwa jinsi polisi walivyojiandaa si rahisi mwana CDM afanye fujo ya risasi zote hizo polisi wasidili naye.kwani polisi wangependa sana hiyo event ili wajisafishe katik jamii na cdm kuchafuka.Inaonekana waliofanya mauaji walitafuta space mbali na kundi lenye kuogoza maandamano.Hii ni ishara kuwa CDM walishawez mazingira magumu ya hawa mapandikizi ya CCM yanayokuja leta vurugu,na hivyo kuwafanya wafanye kama singida, huku wakibanwa na kuishia iga mtu wa nje ili raia waone kuwa CDM ni kundi la wahuni.

Hizi claim za hawa jamaa kwa haraka zinaweza tafsiriwa kuwa ni wao walifanya ili waichafue CDM, na wao pekee ndio wanaoweza fanya katikati ya polisi au hata nyuma ya polisi, na wao ndio wanawaeleza hata polisi .Kwani polisi kama walijua basi wasingempa upenyo huyo mtu au watu watoke salama katik lile vuguvugu.Kwani wasingekuwa tayari kuchafuliwa jina+kulia risasi ni ishara kuwa nao walikuwa hatarini na hivyo hakuna polisi angecheka hawoa jamaa waonoke.

Bado napata shida kufikiria kwanini ccm wamekuwa this "novice"?Sasa wanajiweka katik mazingira mabaya huku resources zikiwaishia.sasa hivi wana kila kitu cha kuwafanya washinde kwa haki ,busara na akili.Ila kama wanakimbilia hay amambo watajikuta wanawapoteza makamanda kabla vita haijachanganya.Watu wana camera katika simu,ipad na vifaa vingine, muda si mrefu watajikutwa picture za hao jamaa zikiwa wazi sana,na hivyo watajikuta katika panic mfululuzo,wakianza kupelekwa magerezani watu,au hata kukosa haiba mbele ya wananchi na hivyo kuwa useless. Nakumbuka Mzee Makamba aliwahi ongea katik media kuwa Tambwe Hiza hakuwa na sifa ya kutangaza CCM kwa wananchi kwa sifa aliyotoka nayo CUF.sasa fikiria watu wote walikoamaa kwa siasa za ccm wakijichafua haswa katika jamii.Watapata wapi watu wa fasta wa kuja uza sera?Na hao wa fasta watasimama kugombea nafsi gani ?Na nani atawaachia wachukue nafasi za bwerere wakati waliopo walijiandaa miaka kibao ili wapande ngazi?CCM wanajiweka pabaya sana.
 
mi nina mashaka na umri wake na uwezo kufikiri kwani naona hayupo kwenye ujana wala uzee. hata chalii mdogo kinyama hawezi kutoa maneno ya kitoto kama hayo,ina maana alitaka polisi wafyatulie watu waliovaa mgwanda ya chadema? du kweli sisiem kuna viongozi ziro
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom