Mwenyekiti UVCCM na mauaji ya Morogoro

"Haiwezekani polisi wampige risasi raia ambaye hana alama yoyote ya chadema"!Hii kauli inathibitisha kuwa kuna mkakati wa makusudi wa kuwaua wanachadema unaoratibiwa na polisi na CCM.

Huyu jamaa angeona sawa kama polisi wangemuua mtu mwenye sare au alama yoyote ya chadema kwa kutumia risasi za moto!
Na hawa ndio thinktank wa chama called themselves youths!Kama kuna kauli moja ya kimbumbumbu imetolewa leo duniani basi ni hii.

na hili lingese shigella limesahau! Na ingekuwa ni chadema wameamua kuua, wangemuua mtu aliyeko kwenye maandamano i.e aliyevaa skafu na magwanda ile kukoleza chuki zaidi!(magamba yanapumbaza sana)
 
Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi aje apige kijana muuza magazeti?

Haiwezekani hao ni chadema,"je hukumu ya shighela ni ya kiungwana? wakati serikali imesema inafanya uchunguzi ?

Hizi propagada za nini?kwanini asiwe na subira kama chadema walihusika, au polisi si itajulikana.Kwanini awe mtu wa kudandia hoja ili kujijenga kisiasa?

CHAMZO;CHANNE TEN TV SAA MOJA NA NUSU

kwa shigela polisi kupiga risasi waliovaa magawanda na skafu ni sawa.
 
comments zote za wana jf hadi hapa ni nzuri sana lakini nawaomba mjifunze kuheshimu uelewa na uwezo wa wengine.
mimi pia nimeona hiyo habari bali tukubaliane tu kuwa haya ndio "majembe" yao wanayoyategemea na uwezo wao ndipo unapoishia
 
Shigela yuko sahihi.kila siku kuna polisi morogoro,hakuna mauaji lakini jana chadema wameenda yakatokea mauaji,so muuaji ni huyo aliemtaja shigela
 
Napata shida na CCM, huku Mwigulu, Nape, Lusinde, Makalla, unaweza ongeza na wengine, ni maboya tu lakini ndiyo hao miongoni mwa wakubwa wa CCM, kuna chama kweli hapo au ni kundi la wahuni tu?
 
anatafuta umaarufu wa kipumbavu!.....................
anatia kichefu chefu.....bibi yangu na uzee wake amemwita uyu jamaa mwenda wazimu!.........................sababu kama sio polic mauaji yasinge tokea......
 
Nasikiliza Taarifa ya habari ITV.Anaokekana kijana wa ccm kiongozi wa vijana, akiwatuhumu CDM kwa kufanya mauaji.Na kuna jamaa miwngine kama anaonekana kuonya watu kuwa wanatumika kwa maslahi ya wachache huku akidai kuwa haingii akilini (note:tuna akili tofauli lakini)Polisi kuuwa mtu wa nje ya maandamano.Yaani muuza magazeti.

Sijui watu wanalisemaeje hili na mwelekeo mzima wa viongozi wa kiserikali katik kipindi hichi ambacho watu wamekata tamaa.Na kutowajibika kwa hawa viongozi au hata kuwa waangalaifu katik kaulizi zao si kwa kuridhisha sana katika amano.Yaani ni staili ya liwalo na liwe.
 
Nasikiliza Taarifa ya habari ITV.Anaokekana kijana wa ccm kiongozi wa vijana, akiwatuhumu CDM kwa kufanya mauaji.Na kuna jamaa miwngine kama anaonekana kuonya watu kuwa wanatumika kwa maslahi ya wachache huku akidai kuwa haingii akilini (note:tuna akili tofauli lakini)Polisi kuuwa mtu wa nje ya maandamano.Yaani muuza magazeti.

Sijui watu wanalisemaeje hili na mwelekeo mzima wa viongozi wa kiserikali katik kipindi hichi ambacho watu wamekata tamaa.Na kutowajibika kwa hawa viongozi au hata kuwa waangalaifu katik kaulizi zao si kwa kuridhisha sana katika amano.Yaani ni staili ya liwalo na liwe.

Ukisikiliza kiongozi yeyote wa ccm ni sawa na kuwa mtu ambaye ni 8 x 8 - 64.
 
ccm ni janga kwa Taifa letu lakini hakika tumeanza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU!

Chungu chao kipo jikoni karibia itaepuliwa!
Watajuta kulijua jiji!
 
Shigela yuko sahihi.kila siku tangu uhuru kuna polisi morogoro,hakuna mauaji lakini jana chadema wameenda yakatokea mauaji,so muuaji ni huyo aliemtaja shigela
 
Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu mwanasiasa kijana hana sifa ya kuwaongoza ninyi wana CCM other wise anawakilisha maoni potofu yenu

mi,naona mara .10000 Wamrudishe makama maana alikuwa anatumia hata vifungu vya dini katika kutoa matamko ya chama
 
chadema ni janga kwa Taifa letu lakini hakika tumeanza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU!

Chungu chao kipo jikoni karibia itaepuliwa!
Watajuta kulijua jiji!
mungu atuepushie tusimalizane kwa uroho wetu wa madaraka
 
Shigela anaendeleza maneno ya bosi wake Nahepe ya kuwa CDM wamepanga kujifanyia fujo wenyewe...hawezi kupingana na bosi wake!
 
Wazungu wajanja sana,wametuletea vyama vingi kutupumbaza ili tuuane.waroho wa madaraka hawaoni thamani ya utu wanaona thamani ya madaraka
 
Back
Top Bottom