Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..

Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.

Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
KAMA HUMPENDI MTU KWANINI UNAENDA KWENYE MKUTANO WAKE? SI UKAE NYUMBANI USUBIRI UCHAGUZI UANGALIE CHA KUFANYA.
 
Back
Top Bottom