AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,048
- 3,568
Hapa umeongeza chumvi mwandishi.Shayo alisema Mzee Shamba hakuwa na sababu yoyote kusema kuhusu msuguano wake na maheremu kwani yalikuwa ni maneno ya kuendelea kuitia simanzi familia yake na ndugu na jamaa walioshiriki tukio la kumstiri ndugu yao.
Ibra line hakusema hayo maneno uliyoandika.
Toka anamtuma mpambe wake kwenda kuomba mic kwa ghurabu basi nilijua tuu ibra anaenda kutoa boko.