Mwenye uzoefu na Marekani msaada nahitaji

Kwani yeye trump ana akili gani?
kwakua mpaka sasa hakuna kifaa kinachopima akili ya mtu,ila ni UTASHI pekee ndio unaweza kupima akili ya mtu.. HUYO Trump na Wamarekani wenzie wenye utashi kama wake wamechangia kwa kiasi kikubwa WAAFRIKA tujishushe thamani na kujiona hatuna AKILI.. kwa sababu ndoto za walio wengi ni kwenda ABROAD. kitu ambacho sio sahihi.. INAPASWA tubaki katka ardhi yetu tufanye maendeleo katika ardhi yetu.. tuwaoneshe kuwa tuna akili kuliko wao.. instead of kwenda kwao... na bado wanatutukana... ila still tunaenda huko..

NB; USA sio nchi ya mtu YEYOTE........ ile ni MAN MADE NATION....na MUAFRIKA ndie aliyeipeleka USA katika HIGH PEAK of DEV
 
Series na movie za kimarekani zimekuharibu akili , unadhani huko mambo mtelezo?

Wamarekani wenyewe wanaikimbia nchi yao wanaenda kuishi kwenye nchi ambazo maisha yapo cheap ...wenyewe wanaita " off the grid"
Tuta Fanya exchange we unapnajw Mkuu waje si tuende me mpaka kuomba msaada Jamii Forums nsha think before I go na nsha G prepared kwa anything kitakacho happen to me so worry out am going to suffer with more plan to do sija kurupuka kiukwel 2 by the way Thanks coz umefanya kama collection
 
US ni pa moto na izi sera za Trump kuhusu migrants basi ni shida jaribu tu bahati yako kwenye DV lottery ukichemka apo basi andaa mshiko mrefu nkuunge na network za kuchomoka akili yako iwe kumkichwa mana Utapeli umejaa pia
 
Huyo uliemkoti umemchafulia hoja yake nzuri, hii ndiyo roho za mtanzania halisi!
Wenye majungu na roho mbaya sio kwenu t hata kwetu wapo achana nao Mkuu ndio maana Wazungu wakasema enzi za slavery kua wa African tuna nywele fupi ndio maana hatuwez kufiki**
 
Tatizo letu wabongo ni pale unapomsaidia mtu anafanikiwa then anakunya juu.kila mtu apambane na khali

Umedhihirisha tabia halisi ya Mtanzania- Kwani ukimsaidia mtu hata akija kuwa na majigambo , wewe tatizo lako ni nini?
Unasaidia sio kwa sababu unatarajia kupata faida fulani, ila kumikomboa yeye- jinsi gani atabehave baada ya msaada wewe si juu yako tena.
 
kwakua mpaka sasa hakuna kifaa kinachopima akili ya mtu,ila ni UTASHI pekee ndio unaweza kupima akili ya mtu.. HUYO Trump na Wamarekani wenzie wenye utashi kama wake wamechangia kwa kiasi kikubwa WAAFRIKA tujishushe thamani na kujiona hatuna AKILI.. kwa sababu ndoto za walio wengi ni kwenda ABROAD. kitu ambacho sio sahihi.. INAPASWA tubaki katka ardhi yetu tufanye maendeleo katika ardhi yetu.. tuwaoneshe kuwa tuna akili kuliko wao.. instead of kwenda kwao... na bado wanatutukana... ila still tunaenda huko..

NB; USA sio nchi ya mtu YEYOTE........ ile ni MAN MADE NATION....na MUAFRIKA ndie aliyeipeleka USA katika HIGH PEAK of DEV
Kufanya maendeleo katika ardhi ya Africa ambapo watoa dira ( viongozi) hawaheshimu katiba na sheria, haki za binadamu, wabinafsi, mafisadi, walafi wa madaraka, in miungu watu hawakosolewi..itatuchukua karne nyingi! Mwenye uwezo wa kukimbia akatafutie familia take ugali na afanye hivyo.
 
karibu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..

pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..

UNA KIPAJI gani kwanza??

alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
 
Wewe upo Miami?!
 
Mbali na kwenda kusoma sababu gani nnaweza kutoa ili nipewe visa ya kuja USA kuishi sio kutalii
Elimu yangu diploma,nna biashara zangu zisizonibana bongo hivyo hata nisipokuwepo shughuli zinaendelea?
Tafuta mtu akutumie invitation letter
 
Kama unadhani maisha ni magumu bongo basi usiende nje ya nchi kabisaaa..jamani kugumu huko km huna ishu
 
Back
Top Bottom