Uyanyuan
Member
- Jul 24, 2018
- 18
- 20
- Thread starter
- #21
Mkuu ukiwa na $1500 Kuna uwezokano wa kuishi Marekani hata kwa wiki maana kuna cheap hotel or guest for one night $40_50_58_60_75_mpaka $100 pia uwezokano waku survive kwa chakula kwa hiyo hiyo $1500 pia kuna zile nyumba za kupanga unakuta mpka $600_500_700_Kwa mwezi m1 tu
Chakula nacho kama
Sandwich $11
Bager 99 nakazalika vyakula vilivyopo huku nchini Marekan hasa ukiwa Marekan mtaa wa wachina I mean street chains
Ahsanten kwa ushauli wako pia
Chakula nacho kama
Sandwich $11
Bager 99 nakazalika vyakula vilivyopo huku nchini Marekan hasa ukiwa Marekan mtaa wa wachina I mean street chains
Ahsanten kwa ushauli wako pia