Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
- Thread starter
- #121
SWT wangu anasema talaka kakupa kitambo,na ndio maana ukaitwa mrs CHIMBUVU!acha wivu hebu niache na mm nioshe nyota bas!
halafu huyu FILIPO anaonyesha ni bingwa wa kumcheat mke wake kwa kukagua vya watu!
.......afu yeye ndo anatangaza mpango mzima!! I'm smlng fishy Nicas Mtei.
mkuu hakuna ndoa juu ya ndoa, na madame B kwenye vielelezo vyake vya ndoa yenu ilionyesha yeye ana haki ya kuongeza mume hadi watano ila wewe huna hyo haki mpaka umempa talaka. Hahaha
Isitoshe huwezi kumkagua kanana(ndizimbivu) passion lady!
Labda nikupe na mkuyati!
makubwa! watano wote yeye?basi mwenzie anaongeza mmoja tu,halafu mbona alikubali talaka,niachieni my husb to be wangu mie!
Akanana inabidi ukae nae mbali
Wifi, yamekuwa hayo? Subira yavuta heri utatujua tu, ukoo ni mkubwa.naomba tu unitafsirie bwna harusi mtarajiwa, la sivyo ndoa haipo labda urudi kwa mkeo aakha babu,mambo gani haya
Wifi, yamekuwa hayo? Subira yavuta heri utatujua tu, ukoo ni mkubwa.
Sawa wifi nilipata mshtuko nikajua na ww ni wa tatu,bora nimekufahamu wifi yangu,nyumbani wazima lakin
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
passion lady,
pole pole bi dada.
Wazima kabisa. Mwambie kaka Ruttashobya akuwekee Avatar.
halafu huyu FILIPO anaonyesha ni bingwa wa kumcheat mke wake kwa kukagua vya watu!
passion lady jina la Ruttashobolwa lipo kwenye damu za watu.
Taratibu na mdomo wako!! Nimekwambia swala la kukaguliwa ni lazima. Hakuna mjadala!
ndio watajiju sasa hao watu,mi namsikiliza honey wangu, tena namuamini sana MAMDENYI we acha kabisa,ila kama una siri jinsi unavyoongea,hebu nimegee nijue bas