Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!

Passion Jiandae kutestiwa kwa KATEREO...............yaaani hiyo ndo qualification ya kwenda kwa Rutashobolwa. Sifa ya katerero lazima uteme venom kama cobra.
 
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!

Passion Lady, ushauri nasikia ni dedicated lawyer, ila sijui kama ni SHE, ni HE au ni hermaphrodite mpekue kwa wakati wako. CHIT CHAT mambo ni kizunguzungu shosti.
 
Hahahahahahahahahahaha
naona unashindwa kumuuliza ushahidi wa yeye kuwa siyo mke wa mh Chimbuvu

mheshimiwa chief judge ukifuatilia katika harakati za kutafuta ushahidi utagundua nimemwuliza hlo swali indirect ambapo alijibu ilikuwa ni ndoa ya mtala, na wewe ulitakiwa kutoa talaka, na nimepata hati yenu na kila kitu kipo tayari,
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahaha
kyanaKyoMuhaya, kubaki no mtinisa? Ruttashobolwa aba mwisiki?

Passion Lady, ushauri nasikia ni dedicated lawyer, ila sijui kama ni SHE, ni HE au ni hermaphrodite mpekue kwa wakati wako. CHIT CHAT mambo ni kizunguzungu shosti.
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya mimi kuthibitisha unatakiwa ujiulize kama kuna ndoa juu ya ndoa! Ningekuwa sijamuacha angeolewa na Chimbuvu? Mi nafikiri unauliza majibu badala ya maswli!

hivi mheshimiwa ulishampa mlalamikaji hati ya talaka na stahiki zake?
Je una ushahidi juu ya hilo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom